Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana MMU, Upendo, Amani na Furaha viwe nanyi. Nilisikia kibao hiki kwenye EA Radio Alhamisi asubuhi. Kuna huyu Dokta hajafuzu lakini bado anatoa huduma tena kwa kutumia sindano oversize. How...
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Weekend Njema! Love is a temporary insanity, curable by marriage. =========================== All married couples should learn the art of battle as they should learn the art of making love...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yumkini hawa marafiki wawili ambao walisoma wote kuanzia chekechea hadi kidato cha nne na baadaye kutawanyika kila mmoja kiguu kwa njia kwa minajili ya kutafuta riziki ya maisha……………..bila ya hata...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku moja waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
QUESTIONS TO ASK ON YOUR NEW FIRST DATE 1. What is your favorite scene from your favorite book or movie? Talking about mass media and pop culture can clue you in to similar interests and world...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimesikia kuwa ikiwa ulioa mwanamke na ukamkuta tuseme ni mdada tu wa nyumbani hana kazi na elimu yake ni yawaida ikatokea baada ya kuwa kwenye mahusiano au ndoa ukaamua kuendeleza kielimu...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
niaje wana jf, mimi ni kijana wa miaka 28, mnamo mwaka 2002 nilikuwa na mpenzi wangu wa kike alikuwa kamaliza A level na mimi nilikuwa nimemaliza o level na nilikuwa nafanya kazi za vibarua(kazi...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
wasalaam MMU! kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!! Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa...
1 Reactions
112 Replies
9K Views
Shukrani za dhati ziwe juu wn jf.wengi wenu mmepata mshtuko wa jina la hayati.hili ni jina lenye asili ya kiarabu lenye maana ya uhai yaani al-hayy kwa maana ya uhai.lkni wakati mwengine hutumika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zawadi ni kitu ambacho kila mtu awe mzee,kijana au mtoto wote wanapenda,na inakua namaana zaidi kama zawadi hiyo umeletewa na mtu unaempenda. Zawadi si lazima kiwe kitu cha gharama sana ila maana...
2 Reactions
34 Replies
23K Views
Nimetoka kumeet na dada mmoja hivi, ananiomba ushauri, maana yeye hata hajui what to do. Nimeona niwashirikishe, in short mkasa uko hivi, Huyu dada yupo na bf wake kitambo tu, yeye bado yupo...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
kiukweli nimemaliza udom kuna binti nilimwa proach akasema hapana,kisa anadai mi ni handsome sana so siwezi pata wa type yangu hapa chuo,kimsingi i luks attractive even ma rummate tells me,i was...
0 Reactions
157 Replies
11K Views
Habarini ndugu zangu,Naamini hamjambo. Unajua kuna mambo ambayo ni magumu kumwambia mtu,wakati nikiwa chuoni miaka ya nyuma huko,kunamshikaji tulikuwa darasa moja na bahati mbaya group discussion...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuwahi kufika kileleni ni ugonjwa au ni nini na nini tiba yake?
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Kila siku nawaza kuhusu nani atarithi mali zangu, naomba kuuliza kama ndio dalili za mwisho wa maisha yangu kukaribia, lakini naapa sitamwandika mrithi mtoto wangu wa kiume kwa sababu mama yake ni...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
​Kuna men tulikuwa tunadate ikatokea misunderstanding, yeye ni mwanachuo bado na mimi ni graduate ofcourse sija Do nae as i said in previous topic i posted na tulibrake baada ya yeye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii huwa inatokea sana, alafu mtu akipigiwa simu huwa zinakuja sababu za "nimerenew line" au "nimepoteza simu". Kumbuka hawa wafuta namba wengine ni marafiki tu. Ninachojiuliza> inawezekana watu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu uwe mpenzi kama huyu itakuwaje unainjoi kuwa ana papai nne au ndo inakuwa hata upukweni unamkacha
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mapenzi katika jamii ya siku hizi, je yana zingatia vigezo na miiko ya wazee wetu wa zamani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
FAIDA KATIKA KIROHO Watafiti wengi wanakiri kwamba kuna sexual energy kama energy zingine ambayo wakati wa sex ikiunganishwa kati ya mwanaume na mwanamke hasa wakati wa kufika kileleni huweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…