hivi inawezekana kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi inawezekana kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kingazi, Jul 9, 2011.

 1. kingazi

  kingazi Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku moja waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa anaumia, mkewe akamuomba ndugu yangu huyo wakapime dna kama anamashaka maana mke alimuona mumewe japo hasemi ila anaumia mno walivyo kwenda kupima vipimo vinaonyesha mtoto ni wa ndugu yangu sasa bado najiuliza hivi iawezekana vipi ikiwa sisi wenyewe ktk kizazi che2 hakukua na mzungu na wala familia yao pia maana tunaifahamu.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Bac 2na assume huyo dada alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu..
   
 3. a

  alex50 JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Haiwezekani nijuavyo mimi
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hahahaha, DNA bongo??
   
Loading...