Jinsi ya kumnunulia mpenzi wako zawadi

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Zawadi ni kitu ambacho kila mtu awe mzee,kijana au mtoto wote wanapenda,na inakua namaana zaidi kama zawadi hiyo umeletewa na mtu unaempenda. Zawadi si lazima kiwe kitu cha gharama sana ila maana yake inabaki pale pale hata kama ni pipi ya TSH 100. Zawadi inanafasi kubwa katika kuimarisha mahusiano kwa wapendanao na kuweka kumbukumbu nzuri katika maisha. Sidhani kama ni rahisi kusahau zawadi uliyonunuliwa na mpenzi wako.Ipo wazi kwamba zawadi za surprise huwa zinakuwa na msisimko zaidi kwa mpenzi wako.Ili kufanikisha zoezi hili yapo mambo ya kuzingatia ili usije uka miss target.1.LAZIMA UMFAHAMU MTU UNAEMNUNULIA NI WANAMNA GANI Kama mtu wako ni free spirity, romantic or sporty. Labda free spirit angepennda flower jewelry or perfume, au kama ni romantic angependa lingerie set ,na sporty labda angependa vya ki sporty zaidi.2.CHUNGUZA HOBBY ZAKE Kama ni mschana je anapenda mambo ya ku bake?kama ni hivyo mletee surprise ya a new baking set with bowls, spoons, or a recipe book. Au kama ni mwanaume wako anapenda arsenal, man u etc mnunulie basi vifaa vya nembo hiyo. Au kama anapenda jeans za aina flani hivi, viatu vya aina flani hivi etc Ukijua hobby ya mpenzi wako utakuwa in a position to buy things which are in their hit shopping list. 3.UWE UNA RELATE MAONGEZI YAKEUtajua tu mtu anapenda nini kwa njia ya maongezi yake hapo unaweza kumtafutia zawadi nzuri ambayo atafurahia.Kama ni mdada kila mkipita mahala mkamwona teddy bear na kutaka kumshika basi keep inmind hiyo ndio hobby yake.Ukijua haya itakusaidia kutafuta kitu ambacho hakika kitamfurahisha mpenzi wako.Sio hujawahi kumwona hata siku moja ana jeans au kuongelea jeans we ukaleta jeans.Au hujawahi hata siku 1 kuona amevaa kitenge au kuongelea kitenge we ukaleta kitenge.Nimifano tu
Nawatakia kila laheri wenye wa kuwanunulia zawadi.

Nimimi wenu charger makazi yangu ukutani,jioni lazima uje tu!
 
Ahh kumbe lizzy upo?safari madoid!we endelea kukaa TAZARA eti unasubiri boti ya ZANZIBAR
 
LIZZY hapo ndio huwa mnakwama,mkishapata uhakika mnaona mmemaliza safari,kunguru weusi unawajua?wanabeba hadi miswaki jiulize kama wanakulaga miswaki
 
Hhehe....si wanaswakia?!SITOI zawadi unless tuko kwenye kipindi cha kudanganyana!!
 
LIZZY mama hata kama unajenga kinyelezi hatuendagi hivo??
 
LIZZY umeshakuwa kirus mbona unataka kuniharibia sredi yangu lakini??
 
Aksante kwa kuniongezea ushauri na skillz
Zawadi ni kitu ambacho kila mtu awe mzee,kijana au mtoto wote wanapenda,na inakua namaana zaidi kama zawadi hiyo umeletewa na mtu unaempenda. Zawadi si lazima kiwe kitu cha gharama sana ila maana yake inabaki pale pale hata kama ni pipi ya TSH 100. Zawadi inanafasi kubwa katika kuimarisha mahusiano kwa wapendanao na kuweka kumbukumbu nzuri katika maisha. Sidhani kama ni rahisi kusahau zawadi uliyonunuliwa na mpenzi wako.Ipo wazi kwamba zawadi za surprise huwa zinakuwa na msisimko zaidi kwa mpenzi wako.Ili kufanikisha zoezi hili yapo mambo ya kuzingatia ili usije uka miss target.1.LAZIMA UMFAHAMU MTU UNAEMNUNULIA NI WANAMNA GANI Kama mtu wako ni free spirity, romantic or sporty. Labda free spirit angepennda flower jewelry or perfume, au kama ni romantic angependa lingerie set ,na sporty labda angependa vya ki sporty zaidi.2.CHUNGUZA HOBBY ZAKE Kama ni mschana je anapenda mambo ya ku bake?kama ni hivyo mletee surprise ya a new baking set with bowls, spoons, or a recipe book. Au kama ni mwanaume wako anapenda arsenal, man u etc mnunulie basi vifaa vya nembo hiyo. Au kama anapenda jeans za aina flani hivi, viatu vya aina flani hivi etc Ukijua hobby ya mpenzi wako utakuwa in a position to buy things which are in their hit shopping list. 3.UWE UNA RELATE MAONGEZI YAKEUtajua tu mtu anapenda nini kwa njia ya maongezi yake hapo unaweza kumtafutia zawadi nzuri ambayo atafurahia.Kama ni mdada kila mkipita mahala mkamwona teddy bear na kutaka kumshika basi keep inmind hiyo ndio hobby yake.Ukijua haya itakusaidia kutafuta kitu ambacho hakika kitamfurahisha mpenzi wako.Sio hujawahi kumwona hata siku moja ana jeans au kuongelea jeans we ukaleta jeans.Au hujawahi hata siku 1 kuona amevaa kitenge au kuongelea kitenge we ukaleta kitenge.Nimifano tu
Nawatakia kila laheri wenye wa kuwanunulia zawadi.Nimimi wenu charger makazi yangu ukutani,jioni lazima uje tu!
 
Zawadi ni muhimu sana kwenye mahusiano, mie napenda kubadilishanazawadi na mpenzi wangu
 
Back
Top Bottom