Ufafanuzi kwa wana jf

Hayati

Member
Jul 1, 2011
64
5
Shukrani za dhati ziwe juu wn jf.wengi wenu mmepata mshtuko wa jina la hayati.hili ni jina lenye asili ya kiarabu lenye maana ya uhai yaani al-hayy kwa maana ya uhai.lkni wakati mwengine hutumika kwa maana ya mpenzi sawa na maneno yarouhi,al-ayyini. Nataraji mmenifahamu
 
lakini kwa waswahili wengi na hapa nchini tunalitambua kama jina la marehemu.., unajua ukienda sehemu kama Ghana au Japan kuna majina ya watu ambayo ukiyasema hapa Bongo yatakuwa either tusi au kiungo cha dada zetu ambacho huwezi kutamka kwenye umati wa watu...

Kwahiyo mkuu... "When in Rome Live Like Romans"
 
Back
Top Bottom