Ni rahisi mwanamke kukuacha ikiwa>....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni rahisi mwanamke kukuacha ikiwa>.......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kitalolo, Jul 8, 2011.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nimesikia kuwa ikiwa ulioa mwanamke na ukamkuta tuseme ni mdada tu wa nyumbani hana kazi na elimu yake ni yawaida ikatokea baada ya kuwa kwenye mahusiano au ndoa ukaamua kuendeleza kielimu pengine hata kumwezesha kupata kazi eti wazee wanasema kuna uwezekano mkubwa wa demu huyo kuachana na wewe kwavile pengine mlipoazna mahusiano aliona kutokana na levo yake wewe ndio unayemstahili sasa akipanda chata atataka kuwa na wa levo ya juu zaidi kwahiyo uwezekano wa yeye kutoka nje ya ndoa unakuwa mkubwa zaidi au hata kuachana maana sasa anakuona kama vile uko matawi ya chini na yeye yuko matawi ya juu. pia kuna usemi kuwa mwanamke ataona kuwa kwavile wewe umeamua kumwendeleza kielimu ni sawa na unamdhgarau na unamwona kama sio msomi au humpendi tena mbaya zaidi ni wanasema ni wakati wa kumtongoza demu au wakati wa uchumba ukamwahidi vitu kama kusomeswa na mengineyo kama hayo eti anaweza kukubali au kuingia kwenye ndoa kwavile tu anajua atasomeshwa na mambo mengine kama hayo. je kuna ukweli wowote katika hili na kama ni kweli je nini kafanyike?
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu Kitalolo (Ngitalolo????) hebu weka paragraphs basi ndugu yangu ili tusome kwa raha zetu...
   
 3. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  niko bise nisaidie kuedit.maana nimbanwa sana hapa ofisini nikaamua kuandika chapchap
   
 4. The great R

  The great R Senior Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kubadilika ni hulka ya mtu sioni ukweli wa jambo hilo.
  Siku zote me husema panapo upendo hamna matatizo unless mmeoana kwa sababu nyinginezo.
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kitalolo unasomesha?Kubadilika kwa mtu ni tabia binafsi ya mtu hizo factor nyingine hata zikiwepo kama mtu mtulivu ni mtulivu tu na kama ni mcharuko basi twende kazi
   
 6. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ndio nasomesha sasa wananitisha kuwa ntajaachika mkuu wa kurambaramba
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  waweza achika ndiyo. Nina mifano kadhaa ya watu waliotendwa baada ya kuwasomesha watu wao. Ila usikate tamaa. Daima katika maisha ni ku-risk. Unaweze achika au pengine usiachike. Yategemea tabia ya mtu. Ila uwe tayari kwa lolote. Tenda wema.... nenda zako.
   
 8. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sasa ukiweke data kuonyesha kwa asilimia unafikiri inaangukia wapi zaidi kuacha au kuendelea kuwa pamoja baada ya kusomesha?
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  hili laweza kutokea kwani wapo wanaobadilika baada ya kusaidiwa...ni kuomba Mungu usikumbane na binti wa dizaini hiyo.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hiyo inatokea mara nyingi. Ni kwamba unapompeleka shule unamjengea ufahamu/uelewa, unamuingiza katika mazingira mapya na huko anakutana na watu tofauti tofauti, anajifunza mambo mengi tofauti kutokana na hiyo exposure. Ni katika kipindi hicho ndipo anaweza kujijua aina gani ya mwanaume angependa kuwa nae kwasababu tayari ameshainteract na watu kwahyo anawaelewa vizuri zaidi kuliko mwanzo. Kidogo kidogo anaanza kulinganisha mahusiano yenu na mahusiano ya rafiki au watu wake wa karibu. Anaweza kuhisi kuna vitu ana miss au mahusiano yenu yana mapungufu. Ikitokea hvyo ni rahisi kukuacha na kwenda anapoona ni pazuri zaidi.
  Hata wale wanaokuwa na wapenzi ambao wapo secondary mfano form1, probability ya kuwa wote hadi amemaliza chuo huwa ni ndogo.
  Hiyo isikuwe wasiwasi maana watu wanatofautiana.
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Bi shosti umenena vema mpaka mwenyewe nimekukubali, maelezo yako ni ya ukweli aisee!
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  si wanawake wote .. ingawa haya yaliwahi kumkuta ndugu yangu ... yule msichana bila aibu alimuacha solemba alipomaliza kusomeshwa na kupata kazi ya ualimu... akapata jamaa hukohuko shule anapofundisha
   
 13. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  unaona sasa?
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Na hata hapa kwenye utetezi wako baaado unachapia....pole kwa majukumuanya way turud kwenye mada,haya mambo yapo sana mdau tena sana,nina mifano lukuki,mmoja ulimtokea ndugu yangu az my bro.........ni kwamba yeye alikuwa na kabinti,kale kadem alianza nako uhusiano tangu kapo primary,kalipofaulu baba akakataa kukasomesha jamaa akakapeleka Kilakala,then fom for kaka faulu jamaa akamuunganishia advance kilakala tena,mtoto akaenda SUA,jamaa akawa anamhudumia kama kawaida,mtoto akaua shahada ya kwanza,akaua ya pili,akamchakachua jamaa na kumuuliza anadai kias gani apewe???????bint sasa yupo na maisha yake........TAFAKARI
   
 15. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  well said
   
 16. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  kama yuko busy sana kapataje muda wa kusoma hiyo comment
   
 17. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mara nyingi hilo hotokea .Mimi nimeshashuhudia mara mbili.
   
 18. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nimeweza kwavile niko busy na easy
   
 19. H

  Hayati Member

  #19
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli baadhi yao hubadilika hii ni moja ya sifa.ila vilevile inategemea na upeo wake huyo demu au mke.wapo wanaona maisha ni dili wengine huwa na mtazamo wa kuridhika uliyenaye.asante
   
 20. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kwa tafiti nyingi na ukweli tukiangalia maisha halisia hiyo kitu ni kweli kabisa,wanawake wengi waliosomeshwa na kutafutiwa kazi na waume zao huwa hawadumu pamoja katika maisha,nasema ni kweli maana mie mwenyewe imenikuta
   
Loading...