Niko dillema, mchumba wangu ni mchawi!!!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
May 17, 2011
660
99
wasalaam MMU!

kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!
Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.
Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!
Mtoto wezereee!!
Mtoto unywele!!
Mtoto smile!!
Mtoto meno meupeee!!
Mtoto mguu!!
Dahhhh!!

na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!

Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!

Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi?

Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.

ahsanteni.
 
wasalaam MMU!kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!Mtoto wezereee!!Mtoto unywele!!Mtoto smile!!Mtoto meno meupeee!!Mtoto mguu!!Dahhhh!!na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi? Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.ahsanteni.
sasa hapa wewe tatizo liko wapi?
 
Aksante umenisaidia kuuliza swali halafu mbona sioni uhusiano na uchawi hapo? Maana nlitaka kujua amejuaje kama ni mchawi?
wa
cha tu mae, coz mtu unasoma kwa bidii mpaka nukta dk ya mwisho huoni cha kuchangia,JF wakati mwingine ni vululu vululu
 
Kwani mpaka sasa bado watu wanaamini kuna uchawi? Jamani mtu akifa inakua mkataba wake wa hapa duniani umekwisha mengine yote sababu2,
usiache kupenda umpendae kisa mchawi mulize ivi Eti wangu wewe mchawi manake watu wanasema hivyo, atakupa jibu
 
Soma taarifa hii ni ya kweli:

'Katika kijiji kimoja alitokea kijana mmoja ambaye aliongea na wanandoa wawili kama ifuatavyo: Alipomwendea mke alimwambia kuwa mumeo anao mkia sehemu ya nyuma pale makalio yanapopakana, endapo unataka kupata ukweli mtakapokuwa kwenye mechi peleka mkono wako mahali pale nawe utajiridhisha. Muda mfupi baadaye akakutana na mume naye akamweleza vivyo hivyo. Kila mwanandoa akaamini kwamba mwenzake anao mkia huko nyuma. Kwa bahati mbaya mke alikuwa wa kwanza kupeleka mkono kwenye makalio ya mume; mume aling'aka na kumwuliza kwa nini unapeleka mkono wako huko? Mke hakujibu, ndipo mume naye alipojitosa kupapasa eneo la makalio ya mama, mke naye aling'aka vile vile ndipo walipoulizana kwa upole kwa nini kila mmoja alitaka kumpapasa mwenzake ndipo ilipofahamika kuwa kila mmoja alikuwa na taarifa za mwenzake kuwa na mkia. Walijikuta wote wawili wamedanganywa na mtu yule yule kwa vile alitaka kuvuruga uhusiano wao wa ndoa.

Nionavyo mimi, inakupasa ufanye utafiti wa kina sana kupata ukweli wa huyo mchumba wako kama kweli familia yake ni ya wachawi, inawezekana mtu aliyekuambia anayo nia ovu kama taarifa hiyo hapo juu inavyojieleza. Kama mtoto ametulia utayasikia mengi sana mfano ukoo wake una magonjwa ya kurithi kama ukoma na mengineyo. Kuwa makini sana katika kipindi hiki unapoelekea kujipatia jiko.
 
Aksante umenisaidia kuuliza swali halafu mbona sioni uhusiano na uchawi hapo? Maana nlitaka kujua amejuaje kama ni mchawi?
mwanajamii one, uchawi ninaweza nikawa nimeujua kwa kuzingatia maneno ya majirani zao, ikiwa ni pamoja na taarifa ya mama yao kumkii dingi na maza mwenyewe kutokuwa na ushirikiano unaoleweka na majirani zake.Kumbuka lisemwalo lipo na kama halipo linajongea.
 
Kwani mpaka sasa bado watu wanaamini kuna uchawi? Jamani mtu akifa inakua mkataba wake wa hapa duniani umekwisha mengine yote sababu2,usiache kupenda umpendae kisa mchawi mulize ivi Eti wangu wewe mchawi manake watu wanasema hivyo, atakupa jibu
hivi unaweza kumuuliza mchawi live akakujibu kama anao?
 
Kwa hiyo kila anaekill na mwenye mahusiano mabovu na jiranize ni mchawi? Kuna vitu hujaweka wazi
 
ushauri sahihi ni muache now..
hisia hujenga jambo ambalo hata kama halipo,we utaliona lipo

uliamini kwao ni wachawi,basi lazima mtakuja kugombana..
chochote kitakachokutokea mbele,hisia zako zitakuwa wana kuroga hata kama sio kweli
so bora umuache now
 
SH leo umelikorogoa hiyo title na humu ndani havina hata chembe ya uhusiano kabisa...................................Uchawi watokea wapi hapo??..............Acha longolongo..........................hao wanaokwambia ni wachonganishi na walikuwa wanamtaka huyo msichana
Kwani mtu akifa ndo karogwa??
 
wasalaam MMU!

kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!
Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.
Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!
Mtoto wezereee!!
Mtoto unywele!!
Mtoto smile!!
Mtoto meno meupeee!!
Mtoto mguu!!
Dahhhh!!

na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!

Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!

Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi?

Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.

ahsanteni.

Endelea naye tu, maana umeshasema mchawi, ukimwacha si atakuroga?
 
ushauri sahihi ni muache now..hisia hujenga jambo ambalo hata kama halipo,we utaliona lipouliamini kwao ni wachawi,basi lazima mtakuja kugombana..chochote kitakachokutokea mbele,hisia zako zitakuwa wana kuroga hata kama sio kweliso bora umuache now
nahisi kuna ukweli
 
hv uchawi ni nini? Nani kauona? Nani kathibitisha kwamba huu ni uchawi? Na hao waliojua kuwa huyo binti kwao wachawi walijuaje? Maana daktari anamjua daktari mwenzie, mhasibu anamjua mhasibu mwenzie, wachawi je?
 
Back
Top Bottom