huyu dada vipi,siriaz nisaidieni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huyu dada vipi,siriaz nisaidieni jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Handsome, Jul 5, 2011.

 1. H

  Handsome Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kiukweli nimemaliza udom kuna binti nilimwa proach akasema hapana,kisa anadai mi ni handsome sana so siwezi pata wa type yangu hapa chuo,kimsingi i luks attractive even ma rummate tells me,i was student minister in government i went south Africa under sponsorship of state house na anajua it gives me popularity at college much,but simwelewi kabisa ana sms love text like my love,etc ananiletea fud rum,but simwelewi totally,tumemaliza chuo na ndo anasisitiza hivo,ila alikuwa na BF wake wakaachana nami i had mine tukaachana tena kwa amani kabisa,na anajua na they ar some how friend,it is ma first time kuja hapa pls walio siriaz na hili air out ur views,pls am so so in need of her in future,na am single,
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  So young man, do you mean you look attractive to your Roommate? and you are busy bragging for that?
  When you said "...ila alikuwa na BF wake wakaachana nami i had mine tukaachana..." do you mean what i understood?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kazi ushamaliza mkuu unataka nini kumbe wote ni devorced mbona una kigugumizi kwenye maamuzi..
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hii grammer ndio ulifundishwa UDOM i doubt. Halafu UDOM ni University au College????
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa mmoja hapo UDOM mwaka 2009-10 alijiua baada ya kugundua kuwa kambukizwa ngoma na mwanafunzi mwenzie, umeshahu hio story? Vipi haikupi funzo lolote??
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Si hawajaenda Practical training, eti wamenyimwa boom, pengine nayo inachangia
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Dah!! Mkuu hata kama lol!!! Ila hapa kitu ambacho sijaelewa sasa ishu kama hii tunamsaidia nini kuna vitu vingine it's just the matter of your thinking capacity.
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,313
  Trophy Points: 280
  Hahahahah....
  in the words of Dr. Kikwete, "...sina maana hiyooooo"lol.
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!! TANMO i hope you are not thinking what I'm thinking.
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Mpwa, labda kasoma huko Saint Juma, katoka huko kakimbilia UDOM, yaani Primary alifundishwa na Mwalimu ambaye ni Form Four Failure, jamaa kajitutumua akarisiti akapata credit akaenda A-level, alipofika akafundishwa na jamaa ambaye alikua kamaliza Form six akafeli kwa hio anaganga njaa pale, hapo napo akafaulu kwa three ya mbinde mbinde hivyo hivyo tu.......kufika UDOM duh, kakuta anafundishwa na Vijana wa Kihindi wenye Masters tu, kingereza hakieleweki, matamshi hayasikiki.....mmmhh, haya kaomba aende practical pengine atasikia sikia wenzie huko wanasemaje, ndio hivyo serikali yao pendwa na "inayosikiliza" au sikivu ikishindwa kuwasikia................so hawa ni tokeo la mfum mbovu wa elimu.
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  The Finnest
  bado jamaa mgeni mtamkimbiza bure humu
  duh halafu hizo design za kusema kuwa he is handsome na anasifiwa kwa hilo sijapata kusikia mwanaume anasifiwa kwa uzuri bana
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mwanamme mzuri! careful Handsome wapemba wakikusikia watakugharamikia kila kitu hadi kieleweke
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  Duu mafagio ndugu...kujjibooooooostt..mara nilienda sauz mara nilikuwa minister mara naambiwaw navutia...
  AHHH NDO MANA ATA ID YAKO JINA LAKE NIO HANDSAM?
  mhh mwanaume kujifagilia wala ainog...imekaa kikike kike....MWANAUME ALIYEKAMILIKA AWEZ AKALALIA SIFA YA UANDSAM..
  mwanaume anatambulika kwa swaga zake na si upododo wa kuvutia..km we unavutia ..dadayako je inakuwaje?asemeje?
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Rose1980 taratibu utamkimbiza humu abadilishe mpaka na ID
  maana umemua kabisa hapa
  Ndo maana nikasema hii design ya kujiboost kuwa yeye ni handsome anaitoa wapi maana mwanaume kujisema wazi kuw ami ni handsome design inashtua
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mabagala
  Wacha jamaa aendelee kujisifia aone matokeo yake
  Design hata dem kamuona mtu wa kujiboost ndo maana anamtosa
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  U handsome wa mwanaume ni jinsi unavyoyakabiki maisha kila siku na ujazo ktk mfuko wako na si sura we dogo. ndio mnavyodanganyana huko chuo? ndo maana huyo dada anakukimbia anajua muuza sura tu wewe huna cha maana. utapendwa na wanaume wenzio arghhhhhhhh
   
 17. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Umesahau kitu kimoja, mapenzi hayatafutwi kwa kujikweza, wewe hapa umetanguliza u-handsome wako, madaraka chuoni, kufanikiwa kusafiri nje ya nchi under sponsorship ya state house na u-popularity wako chuoni, hivyo vyote kwenye mapenzi ni sifuri, nataka nikuhakikishie huo u-handsome wako hautalipa zaidi ya kukutia hasara maana inavyoonekana unaujali sana hata username yako inaonyesha hivyo, maisha ni zaidi ya ulivyo kwa mwonekano wa nje..
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Jamaa kajiboost mpaka anatisha na uhandsome wake na majigambo kibao
  Ndo maana mwanamke amemuona hana maana akamkimbia na inaonekana anajijali yeye mwenyewe zaidi na sio mpenzi wake
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kama unampenda mwambie hutamuumiza. peengine anaogopa huo u handsome wako utapendwa na wengi
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ahhh akimbie tu...akajifagilie mbele ukoooo ..amtafute dul sykes wafungue saccos yao...MAFAGIO SACCOS
   
Loading...