Anaharufu kama bata nitamsaidiaje?

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Habarini ndugu zangu,Naamini hamjambo.

Unajua kuna mambo ambayo ni magumu kumwambia mtu,wakati nikiwa chuoni miaka ya nyuma huko,kunamshikaji tulikuwa darasa moja na bahati mbaya group discussion moja.

Shida ya huyu jamaa nilikuwa nashindwa kumtofautisha na bata,namaanisha alikuwa na kikwapa uspime yani kama mna discuss swali 1 unaweza kuhisi ni maswali 10.Yani sielewi sijui alikuwa analala na bata au.........Halafu inaonekana yeye hajistukii na anapenda sana mambo ya kusalimia ki westen yani kukumbatia wenzie.Hivi unapokutana na mtu kama huyu unaanzaje kumwambia,nadhani hili jambo sio geni jamani mmesha kutana nalo.
 
kwani umewahi kumnusa bata wewe? na unazungumzia bata gani? bata mzinga? bata bukini? bata maji? bata pori?
 
Nyani naoana uko safi kwenye classification ya mabata,misijui ila wale bata wa home wanaitwaje?au ndio bikini hao?
 
Habarini ndugu zangu,Naamini hamjambo.

Unajua kuna mambo ambayo ni magumu kumwambia mtu,wakati nikiwa chuoni miaka ya nyuma huko,kunamshikaji tulikuwa darasa moja na bahati mbaya group discussion moja.

Shida ya huyu jamaa nilikuwa nashindwa kumtofautisha na bata,namaanisha alikuwa na kikwapa uspime yani kama mna discuss swali 1 unaweza kuhisi ni maswali 10.Yani sielewi sijui alikuwa analala na bata au.........Halafu inaonekana yeye hajistukii na anapenda sana mambo ya kusalimia ki westen yani kukumbatia wenzie.Hivi unapokutana na mtu kama huyu unaanzaje kumwambia,nadhani hili jambo sio geni jamani mmesha kutana nalo.

Mkuu mambo yalikukera tangu enzi hizo ukiwa chuo na wala hukuomba ushauri wala hukuchukua hatua yoyote kumsaidia rafikio mpendwa ambaye mlishauriana mambo ya kimasomo,...lakn leo umeamua kuja mwanika hapa jamvini unafikiri itamsaidia kitu,......anyway labda alikuudhi na haukupata muda wa kumlanga
 
Ht mm nataka kumuuliza km ww ulinvomuuliza....it was back then sio sasa....au ndo ww mwenyewe mkuu maana humu ndani watu wanaleta issue zao kivingine.
 
Nenda naye kwenye banda la bata, mkifika hapo nipigie naku PM namba zangu sasa hivi.
Mkuu Ecoli inamaana unataka tumtenge kabisa jamaa aishi na bata?hawa activist walivowengi skuhizi tutapona kweli?
 
Sangara ishu sio kumshauri ishu unaanzaje kumshauri?

Kama ana mke/girl friend nadhani yuko kwenye nafasi nzuri ya kumsaidia. Kina mama ni wazuri kwenye ushauri wa jinsi ya kuweka makwapa kwenye hali ya usafi. Siku hizi kuna hii kitu inaitwa deodorant kwa wanaume nadhani nayo inaweza msaidia.
 
Ht mm nataka kumuuliza km ww ulinvomuuliza....it was back then sio sasa....au ndo ww mwenyewe mkuu maana humu ndani watu wanaleta issue zao kivingine.
Mkuu Rogi sio mimi ningekuwa ni mimi ningewaambia tu wakuu hapa jamvini hakuna siri since mimwenyewe ni siri.Kinachonisumbua sio what to do ni how to do
 
Ht mm nataka kumuuliza km ww ulinvomuuliza....it was back then sio sasa....au ndo ww mwenyewe mkuu maana humu ndani watu wanaleta issue zao kivingine.

Sio mimi mkuu,...ila tu nimeshindwa kupata logic ya kumwanika mtu hapa janvini wakati ulishindwa kumsaidia kwa kumwambia wakati upo nae.
 
Sasa utampigia simu umwambie au, mimi nadhani ungeomba kujua kwanini mtu anatoa harufu ya jasho na tiba yake ni nini, coz huyo rafiki yako umesoma naye umemvumilia siku zote mmemaliza ndio unaomba ushauri!
 
Ushauri: Muulize anatumia perfume gani ambayo ina harufu kama ya ba....? Then anzieni hapo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom