Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Nimeusikia mchana huu utafiti huu kuwa katika nchi tatu zilizoasisi east africa community yaani Tanzania,Kenya,na Uganda,ni kuwa Waganda ndo wanaongoza kwa kukutana kimwili mara nyingi zaidi kwa mwaka ukilinganisha na nchi hizi mbili nyingine,ikifuatiwa na Tanzania halafu Kenya ndo ya mwisho!!!!