Kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by eyetyna, Jul 14, 2011.

 1. eyetyna

  eyetyna Senior Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni kwanini unapomuhitaji mtu kwa siku za husoni unakuwa karibu sana na yeye then baada ya muda unaanza kuwa bize?
  Mara unaanza kuwa bize,simu zake hupokei,visingizio vingi,mara hili mara ile?ili mradi tu uwe mbali nae,sasa SIJUI NI KWAMBA MTU ANAPANGA AMA NDO INATOKEA TU?
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa,...ngoja ntarudi nikisha kunywa chai
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  unakuwa karibu nae kwa lipi? Kuwa specific upate michango ya abiria.
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  FB hawajambo?
   
Loading...