Hili limekaaje kwa dada zetu wapendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili limekaaje kwa dada zetu wapendwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by IGWE, Jul 13, 2011.

 1. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Jana baada ya kutoka kibaruani_kama kawaida nikakuta mgao wa umeme umeng'ang'ana,nikaona isiwe taabu acha niende bar ya jiran na ghetto nikapoteze muda hapo na marafiki zangu mpaka saa mbili.Karibu na meza yetu walikaa wadada watatu(seem to be decent and smart) nao wakijiburudisha kivyao,mara simu ya mmoja wao ikaaita na akasikika akisema_'nae huyu haishi bila kupiga cm kila siku,yaani kila siku ni lazima apige cm mara 3 mpaka 5...na sasa sipokei'..,tukasikia rafiki yake akimuuliza kama kamchoka?..yule dada akajibu hapana anampenda sana ila nae kazidi kumpigia cm kila wakati mpaka anamboa.

  Yule dada wa tatu akasema"hata mm sipendi mwanaume anaye niganda kila saa-mwanaume mapozi bana,sio kujali kwa kuzidi kiasi_mwanaume awe waruwaru kiasi ndio flesh",...mjadala ukaendelea

  My concern;hivi wadada/wapenzi wetu nn hasa mnapenda kutoka kwa wanaume,...maake wengine usimpompigia simu kutwa mzima ni mzozo,na usipo mjali sana napo mzozo,....ni nini hasa upande wenu kwenye hili

  nawasilisha
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kwaupande wangu naona kama mpz wako anakusalimu hata kama kutwa mara 10 as long as unayo fursa yakupokea cm yake sioni tabu,naona raha hasa mpz wangu akinipigia, labda hao kina Dada huyo alopiga ni buzi na mkono wake wa birika anatoa pesa ya vocha tena mpaka umuombe,ndio mana kaonekana mzigo.
   
 3. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Yaani mi maadam anayenipigia simu ni mpenzi wangu...........ruksa kupiga muda wowote anaodhani anatamani kuwasiliana na mimi. Furaha yake is my greatest concern.
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280


  Na ndio inavyatakiwa,....wamenishangaza sana wadada wale,ndio maana nikataka nijue kama vip tupunguze kupiga cm kama zinawakera.
   
 5. s

  shalis JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh ninavyozitamani hizo simu hata iwe mara mia kwa simu
  for the men tht i real love.....nitapokea na kuzifurahia
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Usiumize kichwa wadada ndivyo walivyoumbwa!
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  eti eeeeee!...ngoja waje na mitizano yao ili tujuzane,...maake mimi sipendi kabisa haya mapenzi ya kung'ong'ana.
   
 8. T

  This tym 2morow New Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I tnk hii ndo tym ya LOVERS kusomana. Mnataka muishije cz kila gal na Guy ana styl yake ya kucondact Love. Kwa mimi cjaona mistake ya demu coz Tatizo is dt HAWAJASOMANA na KUELEWANA kwa undani.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  you never know with women.....
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wadada wako bar,
  watatu peke yao?????

  mdada mwenye mashosti wakumpeleka bar easy easy
  na wewe huku unapiga simu haipokelewi..
  halafu unasema decent???????/
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kwa muonekano alivyokua ni kama decent,...lakn sio alwayz what you see is what you get,.
   
 12. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kiukweli kuwasiliana kunakipimo sio any time wanasema 2 humu ili wafurahishe page but like mboga ukila sana inaboa sana. mapenz ukitaka yanoge lazma kuwe na muda wa kufikiriana nn unafanya or anafanya. ndio maana kwa 2lio oa 2nafikia wakati unasafiri ili kumtoa mwenzako machon ili kumuwekea hamu utakapo rud. ila anytime ukiwa online mwaka mkubwa lzm mchengane
   
 13. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Umenifumbua macho mtoa mada. Jana kuna mdada alinikalisha sehemu hadi nikaamua kuondoka. Nakuja kumpigia sm asubuhi ananidanganya kuwa sm iliisha chaji, wakati kwa kumbukumbu yangu nilikuwa nampigia hapokei. Leo sitaki mawasiliano naye kabisa
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  lol....lakini na sie wanaume twatakiwa tujue kipimo jamani, hee...
  kupiga simu kila wakati za "upo wapi?, ...na nani?,...nipe nimsikie!" ni dalili za wazimu!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Labda mtu mwenyewe anapiga hata story hana... kama mna ya kuongea yanayofurahiwa na wote wawili hata mara mia au usiku kucha mnaongea.
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Nani aliwaumba hivyo? ( natumaini sio yule Muumba ninayemuwazia mimi, vinginevyo huko nikutaka kusingizia tu)Yaani tabia ya mtu kutopokea simu/kutipenda hicho mpenzi wake anachofanya, uihusishe na kazi ya uumbaji?
   
 17. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyo dada ana jambo,Kama nampenda hata akipiga kila baada ya dakika tano ntapokea,huwezi kuona anayekupenda anakuganda sana sana utafurahia na kujitoa zaidi kwake.
   
 18. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama kuna jibu sahihi.. kuna mapenzi Feki..hivyo hata siku moja wapendanao hawawezi kukubaliana wanataka nini..kwani mmoja wao atakuwa na sababu maalumu ..mara nyingi hela...na huyu atakuwa ameweka vitega uchumi vingi....Lakini pia kuna mapenzi ya kweli lakini pengine ni kweli mmoja wao hapendi hivyo anaona ni dalili za kukosa trust.. Hivyo vitu vyote vinategemea na circumstances..Jibu laweza kuwa Yes au No...
   
 19. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  me nadhani mapenzi hayana fomula.mtu unaempenda wala hutojua ka unaaznza kumpenda.
  utajikutatu, ushampenda.sometime hata sababu ya kumpenda unawea usiwe nayo ila unampenda.
  na jinsi mnavyoendesha mahuhsiano yenu inatakiwa kua kitu automatic as mnavyoishi kila siku
  hadi mnakuja jikuta kuna namna flai amabayo hua mnaishi.ila
  kuuliza et wdad hua wanapenda nini utapata majibu mamilioni hapa na yatakuchnganyatu!
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kwani mtu unaweza kupiga simu bila kua na story kweli,.......
   
Loading...