Mara moja ambayo ulitamani ijirudie Tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mara moja ambayo ulitamani ijirudie Tena

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chimunguru, Jul 13, 2011.

 1. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wadau usiku huu nipo alone, mamsap kasafiri wiki ya tatu sasa, usingizi shida mno sababu ni mtu wangu wa karibu mnoo kweli nina mmiss vilivyo.
  Ukiwa peke yako mawazo na kumbukumbu nyingi zinakujia, nimekumbuka mwaka 1998 nilikuwa naishi na kaka yangu mitaa ya Sinza kwa Remmy, ilikuwa ni nyumba ya kupanga yenye vyumba vinne, na kwa nyuma ya hiyo nyumba kulikuwa na servant quarter ambayo baba mwenye nyumba kaiweka small house yake ambayo inaishi na ndugu zake. Kaka yangu alikuwa bado hajaoa na mie nilikuwa nafanya mitihani ya NBAA so nilikuwa na attend evening classes pale IFM. Likizo moja pale kwa small house ya mzee mwenye nyumba alikuwa msichana mmoja mzuri sana alikuwa kamaliza form four Moshi huko kaja kwa shangazi yake kumtembelea. Mtoto alikuwa bomba bana, tall kidogo halafu yupo slim flani hivi nyuma kajazia na tu hips twa kuibia, ana shingo ndefu km mademu wa ufilipino. ana mdomo mdogo lkn wenye lips flani hivi pana pana km za Naomi campbel!!! Hapo kwa kaka yangu alikwepo na mdogo wangu wa kike na HG so tupo km wanne mle ndani, yule msichana akazoeana na dada yangu ikawa sasa kwa vile kwao hakuna msichana wa rika lake basi anakuja mara nyingi ndani kwetu. Siku zikaenda tukaanza kuzoeana mara anakuja sebuleni ananiulizia ulizia mambo ya IFM, mara anaazima novel mzee nampigia mahesabu lkn kwa vile mimi huwa sipendi kabisa kutongoza wasichana ambao ni marafiki na dada yangu nikawa nampotezea tuu lkn kiroho kinaniuma.

  Wakati huo tamthilia ya sunset beach ndo imeshika kasi balaa akaanza kuja kuiangalia saa nne usiku, km bro yupo ataishia jikoni kwa sista. kweli mapenzi ni kikohozi kuyaficha ni ngumu sana, kuna siku nilimwomba sista naomba maji ya kunywa ghafla yeye akaniletea nilishtuka lkn nikajikaza nikanywa nilipomaliza ile nampa kikombe, akaniwekea kikaratasi kwenye mfuko wa shati, dah mwanaume damu ishachemka hapo mapigo ya moyo spidi 200, yeye huyooo akaondoka akaweka kikombe jikoni akaaga mbio kwao. kile kikaratasi kiliandikwa "Mpenzi naomba kesho mchana nije nilale kidogo kitandani kwako" mazeeee nilijiuliza huyu mtoto huwa ananichunguia dirishani nini, maana dirisha la chumba nilipokuwa nalala ndo lipo mbele ya servant quarter! nilipagawa mnoo dah mtoto kajileta mwenyewe! kumbe kesho walipanga na sista waende mjini yeye dakika za mwisho akamwambia sista shangazi yake kamkatalia ruhusa so sista na HG wetu wakaenda kariakoo.

  Sista Alipoondoka tu mtoto akaja niko sebuleni, akanivuta mkono twenda basi ukanibembeleze nilale, dah huko room mtoto akavua nguo zote akapanda kitandani akalala kifudifudi eti nimfanyie massage! mtoto mtamu yule! ukinyonya lips zake km sponji lainii. kifuani kabeba embe dodo nikazimeza zoote yaani sasa sita, kwenye kitumbua ndo usiseme yaani kilikuwa kimeumuka balaa, kwa kweli alinipagawisha mnoo nilimpeleka kila style mwishowe akalala fofofo kama saa nzima aliposhtuka wakawa wanamtafuta huko kwao, kaenda wapi huyu, ikabidi fasta nimtoe siku ikawa imekamilika. Tokea hapo sasa, alikuwa anvizia sista yuko jikoni au chumbani kwao anakuja sebuleni akinikuta km tuko wawili mara anikumbatie mara anile denda, haondoki mpaka aitwe kwao. wakati ule sinza maji tunavizia kuanzia saa sita usiku siku nyingine hadi saa tisa basi nakuta vi karatasi tu kavipitishia chini ya mlango, sijui sleep tight, sijui njozi njema. nikimuomba mchezo tena anasema eti kila siku atapata mimba. Two weeks later nikapata safari ya ghafla nikaenda Arusha, huku nyuma akaitwa kwao moshi na wakati ule simu ilikuwa anasa mnooo, tritel na mobitel na ile mishindi yao so no contact, niliporudi nikakuta kuna tetesi pale kwao kwamba wakati sipo alikuwa mnyonge mno na alimuulizia sana dada yangu ntarudi lini so wakawa na wasi wasi huenda nimemtafuna! nilisikitika sana yaani kaondoka bila kupewa tena na hakurudi tena, na mpaka leo hii sijajua aliishia wapi! Mdau wewe je tupe story au experience tamu tamu za dizaini hii!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,981
  Trophy Points: 280
  du....
  Sarah wanitesa.
  I miss u.
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ahaa haa zipo hizo sana mpaka unathamani kwenda kuzunguka kuulizia lakini wapi utomuona tena!

  Pole sana sasa hivi mkumbukie tu wife wako maana huyo ukimwona hafanai tena kama hivyo unavyoelezea unaweza kumwona ukalia au ukaulizia ukaambiwa alishakufa longtime.

  Hapo Sinza niliwai kula mtoto form II miaka ya 1996 kitu ilikuwa haijawai kuliwa brand new, alikuwa matata sana sikuwai kumwona tena ila kila nikumkumbuka akili yangu ilidanganyika na picha ile ile ya ya miaka hiyo, siku moja nikaamua kumsaka zunguka hadi kumpata mama yake mdogo uzuri kule, akanipa namba ya simu nikapiga nikajieleza akanikumbuka alivyokuja hamu yote ilikwisha maana alikuwa kisha zeeka na kukongoroka kabisa, kuanzia hapo ndipo nilipoteza ile picha niliyokuwa nayo kichwani maana kabla ya kumuona nilikuwa nakumbuka ile picha ya form II unakula kwa kuiba tight mpya!
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Chimunguru, ukishaapa kwa Mungu na kula kiapo, baaasi there's no going back. Hayo ni majaribu, na ulitakiwa imwaze mkeo na sio huyo mpita njia. Unatakiwa umfikirie mkeo tu na sio uliopata kuwa nao. Kumbuka, wazo huzaa tendo, chondechote usijeingia tamaa ya kumfuatilia na kukumbushia ukajiletea matatizo buree
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Chimuguru una visa wewe! asante umenichekesha nilikua nime nuna kamanini.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu Sherrif heshima kwako, lengo si kumtafuta yuko wapi hapana lengo ni ku share tu story hapa jamvini na kuepuka kuulizwa swali kwamba yupo wapi sasa hivi, nimemalizia ya kwamba sijajua ila sifanyi jitihada za kumtafuta sababu wife ni zaidi ya mara mia ya huyooooo!!
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  tekinologia imesaidia sana siku hizi, wakati huo wakutegemea barua pekee ilikuwa ni kupeana matumaini tu kuwa 'milima haikutani ila binadamu hukutana'
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  nakuhurumia chimunguru, nahisi mkeo nae huko aliko anajikumbushia yule wa zamani. badala ya kuhadithia stori iliyobadili maisha yako na kukufanya uhsehimike kwenye jamii kama mume wa mtu, unaongelea ulikopitia!
   
 9. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,998
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  dah mkuu leo umenipa raha sana....ukijumlisha na ile story ya Naomi arusha dah ......umenikumbusha enzi za ujana wangu....
   
 10. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  good story...good memory. serves us better to remain in memory. reminds of fauzia mitaa ya kibaha sometime mid 80s. tulikuwa pale michezoni (umiseta). I had a crush on her and we happened to be so close. she was so beautiful and so charming. it was always fantastic talking to her and he has the best dimples I have ever seen in life. We happened to kiss one day. she was so sweet...sweetest kiss i think i have ever felt in life. ans she was so soft...so ladyish. unfortunately i never crossed past the kiss and i couldnt imagine angekuwaje kwingine....will never know...
   
 11. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ............Chimunguru bana story zako huwa zinanifurahisha sana.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Tokea uwe mama naona JF imekuwa kwa kudonoa donoa tu! Mama na mwana hawajambo lakini?
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ............. we acha my dear, muda mwingi natumia kucheza na my baby.Maana kuwa mama ni full time job.......siye wazima kabisa.
   
 14. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,051
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Ndo nini Mkuu kutufanyia hivi lakini? Kichwa kiswahili mwili kizungu!! Unatunyasanyasa wengine. Sijaambua hata chembe hapo...!!
   
 15. k

  kisukari JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  kin'gasti una visa
   
 16. k

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  chimunguru umepitia kwingi,kila unaempitia unamkumbuka wewe.mara naomi wa arusha,na mwengine wa dar.sijui mwengine atakuwa yupi.jee ulikuwa una bahati ya kupendwa au vipi?
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahaaa tehe kisukari hata wewe ukiweka listi hapa jf yaweza kuwa ndefu tu. ukiwa mtundu utapendwa saana tuu
   
Loading...