Ni wakati wa uncle kuwa na Aunt,aliyekidhi PM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati wa uncle kuwa na Aunt,aliyekidhi PM!

Discussion in 'Love Connect' started by Uncle Jei Jei, Jul 14, 2011.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Ni kawaida sana mwanaume anapoku tayari kuwa na mwenza kutangaza nia! Dada mwenye sifa zifuatazo atapokelewa kwa moyo mkunjufu; black beuty au rangi ya chocolate, age 20-22, mwenye maadili ya kitanzania, mcha Mungu, mpenda amani, kimo cha wastan na msomi wa level ya chuo. MWALIMU ATAPEWA KIPAUMBELE ZAIDI! Kumbuka; heshima ya mwanamke kuwa na mume kadhalika mwanaume kuwa na mke! Nawasilisha.
   
Loading...