Kuumiza vs kuumizwa......

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Hivi ni kweli kwamba ukimuumiza mtu ni lazima na wewe uje kuumizwa? Ikiwa ni kweli vipi huyu anayekuumiza, inawezekana analipa yale uliyoyafanya zamani? Ikiwa ni hivyo, inawezekana muumizaji asiwe na kosa kwa kuwa muumizwaji alishaumiza wengine? Tujadiliane hili wadau, kwani nilishaumiza na nikaumizwa, sijui mwisho wake ni nini.
 
Inategemeana ni mtu wanamna gani,kuna majitu hayajui kupendwa wala kupenda sasijui kama yanaumia hayo yani wao ni easy taker na wakati mwingine yanaumiza bila kujua yameumiza.

Mkuu uliumizwaje?ulimwagiwa tindikali?
 
Inategemeana ni mtu wanamna gani,kuna majitu hayajui kupendwa wala kupenda sasijui kama yanaumia hayo yani wao ni easy taker na wakati mwingine yanaumiza bila kujua yameumiza.Mkuu uliumizwaje?ulimwagiwa tindikali?
aaah aaah umenifanya nicheke....lol, ni kisa kirefu ntakileta hapa siku moja.
 
Mkuu sio kweli...,
Lakini hujafa hujaumbika, basi kama haujawahi kuumizwa basi utaumizwa,
Na kama hautaumizwa basi labda utakuwa haujaishi muda mrefu wa kutosha, yaani umekufa kabla ya zamu yako,
Na kama umeishi muda mrefu, basi haujapenda watu wa kutosha
Na kama umependa watu wa kutosha....... mhh nadhani this will never end!!!!

Serious though... Sio Kweli
 
no ambae hajawah kuumiza akiumizwa anapata njia yakutokea wkt uliemuumizwa unashughulikiwa.kama umeacha kiukwel basi hutaumia ila lazma ukione kwa wale uliowaumiza mana bdo wanaumia nakukumbuka uliyowafanyia
 
no ambae hajawah kuumiza akiumizwa anapata njia yakutokea wkt uliemuumizwa unashughulikiwa.kama umeacha kiukwel basi hutaumia ila lazma ukione kwa wale uliowaumiza mana bdo wanaumia nakukumbuka uliyowafanyia
mh so wat I can do? Niwaombe msamaha? Hapa hata kuonana ni ishu, vipi ikiwa uliyemuumiza alishatangulia mbele za haki? Hii cycle ngumu sana., maana kutoumiza wengine siyo guarantee ya kutoumiza..lol
 
Your life is a mirror that reflects back to you what you have put out into the world.Make sure you are sending out what you want back.

If you are not happy with what is coming back to you,then take a look at the kind of energy you are putting out there to begin with in the form of your thoughts,words,altitudes, and actions.

"You attract things and people of similar vibration"
by Sanaya Roman

So ask yourself "what can I think,say or do differently the next time so that I can attract back to me what I really want?"
and then DO IT!

From the book "52 ways To Live Success" by Jeanne Sharbuno
 
Inategemeana ni mtu wanamna gani,kuna majitu hayajui kupendwa wala kupenda sasijui kama yanaumia hayo yani wao ni easy taker na wakati mwingine yanaumiza bila kujua yameumiza.Mkuu uliumizwaje?ulimwagiwa tindikali?
sidhani kama mtu anaweza kutake easy kwa mke/mume wake hata kama ni champion wa kupotezea.
 
Eti usilopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzako, vipi ikiwa ni zuri na hupendi kufanyiwa?
 
Back
Top Bottom