Mwanamke aliyekuzidi urefu.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke aliyekuzidi urefu..............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Jul 13, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hivi kuna uhusiano gani kati ya urefu wa mwanamke na mapenzi/kupenda? huwa inanitokea,mwanamke akinizidi urefu huwa naishia mzuka kabisa hata awe mzuri vipi. Nimejaribu kuuliza marafiki wa karibu nao wana mtazamo kama wangu. je hii huwatokea wanaume wote, kama ni hivyo sababu ni nini?
   
 2. K

  KISUNGURA Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi nadhani kua kaelement ka inferiority complex, kwani hata mimi mwenyewe imeshanitokea na sipendi demu mrefu kuliko mimi!
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu hiyo ipo saikologikali sana tu na sio wewe tu...hata wanawake wengi hupenda mwanamume amzidi urefu, jaribu fikiria mwanamke mrefu amkiss mwanamme mfupi...kiama
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 5. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wewe kijana huyo ndo mzuri sana kwa kumkunja, wakati wa yale mambo yetu!
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  aaaah aaaah wala sijawah kufikir kuwa na demu aliyenizdi urefu.
   
 7. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanamke mrefu kuliko mme hafai wazee.
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  alafu mademu warefu sana, wana hatari ya kutoolewa kwani inabidi wapate wanaume warefu zaidi, ambao kiukwel hawapo/wachache.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Wanawake warefu wana Mapango ya amboni marefu kwahyo na wewe inabidi uwe na kikombe cha babu kirefu ili ifike kunako fani.
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  duh hivi pana ukweli hapo?
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,388
  Trophy Points: 280
  Mwanamke nae akiwa mrefu kukuzidi, kama unachimba biti kwa kosa flan hivi,
  lile biti linakua halina nguvu kivile kama mko pamoja mnaonana,
  labda ye awe sebuleni we biti unachimbia chumbani
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh kazi ipo
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hahaha!!! Imenibidi kucheka tu maana ngoja ni-reserve my comments, akikuzidi a few inches sio mbaya lakini sio ile ya hadi utafute stuli au kitu that's inappropriate kwa kweli.
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ............The Finest kumbe ndo hunitaki!! LOL
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hahaha!!! Lol ukisimama na jinsi nilivyo mfupi kama chupa ya Juice ya Sayona ukiamua kunitwisha makonde mbona ntakoma mie maana unaweza kuamua hata kunipiga mitama dakika moja mie chali.
   
 16. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono, kumkunja sawa ila kutoka naye out ni noma.
   
 17. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Je na wanaume warefu wana mitaimbo mirefu? Naomba jibu.
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Watu wafupi mara nyingi huwa wanadharaurika kwa ufupi wao, so hata mwanaume hapendi kuwa na mwanamke mrefu zaidi yake kwani anakuwa anahisi kama atamdharau vile kwa ufupi wake (ingawa si kweli)! Lakini akikuzidi kidogo sio mbaya.
   
 19. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Nawe unawadharau watu wafupi? Na ufupi ni kuanzia kipimo kipi? 5ft, 6 au ???????
   
 20. Dr. Love Pimbi

  Dr. Love Pimbi Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufupi si Hoja cha Msingi ni Kujua ABCs za Mahusiano. Mfano Mzuri ni Mimi Dr. Love na Zena, Zena amenizidi kila Kitu, Urefu Amenizidi sana, Urefu amenizidi sana, lakini silaha yangu kubwa najua ABCs za Mahusiano
   
Loading...