Simuelewi huyu Mwanamke-Msaada wanaJF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simuelewi huyu Mwanamke-Msaada wanaJF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbimbinho, Jan 29, 2011.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,869
  Trophy Points: 280
  Wandugu, :sad:
  Ni GF wangu ambaye kwa kipindi kirefu ka miez 3 hivi tumekuwa kwenye mis'understandings, na nimemuomba sana msamaha but amekuwa mgumu kunisamehe.
  Cha kushangaza ni kwamba kila akiongea na rafiki zake au dada yake anawaambia kuwa tumeshasolve na ku-clear our differences, but ukweli ni kwamba bado hajanisamehe.
  Sasa juzi kati kaniambia kuwa Amenisamehe lakini hawezi kuwa kwenye relationship tena, ikabidi nimuombe rafiki yake anibembelezee, cha ajabu alichomwambia huyu rafiki yake ni kuwa mimi na yeye hatujaachana.
  Wandugu kwa kweli huyu mtu ananichanganya sana, maana ki ukweli ni kwamba nampenda sana huyu binti na yote haya mimi ni sababu, lakini nimeshatubu. Sometimes nafeel ni give up, but naamua kuendeleza mapambano.

  Nashindwa kabisa kuelewa msimamo wa huyu GF wangu, labda nisaidieni wandugu, hii tabia inaashiria nini? Shud I move on or ni-stick no mata wat?:sad:
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Bado anajipa nafasi ya kusahau uliyomfanyia ili akusamehe.
  Halafu na wewe ugomvi wenu sio mnatangaza kwa watu wengine. Inaelekea hapendi kuwashirikisha watu kuhusu mgogoro wenu ndio maana anawajibu hivyo.
  Komalia baba usamehewa.
  Halafu usijaribu kuuvunja moyo wa mwanamke maana kuuona ufalme wa mbinguni itakuwa ngumu.
  Pole eeh.
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,815
  Likes Received: 1,060
  Trophy Points: 280
  hata mie niko kwenye kadhia kama yako, nangoja wakuu wamwage mambo!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Womens womens womens......

  The biggest mystery about women ni kuwa hawapendi kukueleza tatizo...
  Wanataka wewe mwenyewe mwanaume ugundue tatizo lipo wapi....
  Its funny but hivi ndivyo wanawake walivyo.....

  Hapo ni ishara kuwa kuna tatizo bado,na wewe hujajua tatizo lenyewe hasa ni nini?????

  Labda kwanza mpe space..........mwache kwanza atafakari...............
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Well labda hajakuacha kweli ndo maana anawaambia watu wake bado mko pamoja!Inawezekana nia yake ni kukupunish wewe kwasababu anajua unampenda na swala la yeye kukuacha litakusumbua!Anataka kubembelezwa tu huyo..mpige biti kidogo!Kwanza mwombe samahani kwa mara ya mwisho..alafu umuulize kwanini maelezo yake yanatofautiana kwako na kwa watu wake wengine!!Asipokupa sababu inayoeleweka mwambie na wewe umechoka kubembeleza asiyebembelezeka kwahiyo kwa mara ya mwisho unataka akupe msimamo wake..
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  mhh apigwe biti sio?so much for a woman's advice....lol
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Usipendelee kutafuta ushauri wa watu wa nje katika mahusiano kumbuka methali hii Kikulacho kinguoni mwako!!!! Ndio ushauri wangu.
   
 8. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,869
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu.
  Mkuu sio kwmba napenda kuwaambia watu, mi nishaongea hadi nimechoka, nimepiga simu hadi basi, nimeshamwaga sera zangu zote still zimegonga mwamba, so nikaona niombe External msaada.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani kua mwanamke kunanilazimu kua upande wa mwanamke mwenzangu hata kama yeye ndo anamtenda mwenzake vibaya?I'm just being honest with the guy!Kama huyo msichana anamchezea tu mshkaji ataendelea hivyo hivyo kwasababu anaamini mshkaji hana msimamo ataendelea kulia lia tu!
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,869
  Trophy Points: 280
  Duh, pole mkuu, kumbe tupo wengi. Ebana hawa viumbe wanasumbua nouma))
   
 11. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Rafiki pole sana, najua mapenzi yanavyoumiza hasa kwa wanawake ambao hawatake serious n love kama unavyopendelea. Hapa kuna mambo ma2,
  1. Yawezekana kuna mtu anataka kukuzunguka na yeye anasubiri akofirm ili akupige chini.
  2. Pengine anakutega aone misimamo yako. Ushauri, fanya technic follow up mawasiliano na male wengine ila usisuspect kila kitu kuwa mtulivu na busara unapokuta tofauti. Pia usipende kuexpose matatizo ya mahusiano yake wengine huwawanachukulia weaknes point. Si unakumbuka mambo ya john terry! Vilevile matatizo ya mahusiano ni ya nyinyi wawili na ninyi ndo suluhu, mtu wa nje zaidi atawakejeli tu na pia mnakuwa mnamwaga mchele kwenye kuku wengi. Al the best.
   
 12. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,869
  Trophy Points: 280

  Thanks mkuu. hawa viumbe sometymz wanatesa sana, sometymz nafikia uamuzi nimuache tu aende zake, but nikifikiria how many relationships ntakuwa nishapitia hadi kwa ndoa najikuta naghairi. I wish I wud read her mind.
   
 13. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Kama umetumia jitihada za binafsi zikashindikana kuwa tayari kwa maamuzi magumu, kwanza mpe muda kuona kama na yeye atakusamehe kwani nadhani na yeye ndio amekupa muda ndio maana anajaribu kukupima. Ikionekana mabadiliko yanazidi jaribu kuwa busy na kazi na maisha upate kumsahau kwani kama anakupenda kweli atarudi kama hakupendi ataendelea na maisha yake. Akifanya hilo basi fanya maamuzi magumu kwani relationship are social contracts (ijapokuwa watu wengi hawalijui hilo) hatutaki watu waachane but ikiwa haina budi huna jinsi. Kwani ni ngumu sana kulala au kuishi na mtu asiye na mapenzi na wewe. Move on na wewe utapata tu atakayekuwa anakupenda.
   
 14. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo namba mbili, I wish I cud make those technic follow up of her communications na male wengine. Tatizo ni kwamba tupo a thousands miles apart. Na kuhusu hili la kuexpose ni kwamba nawaambia watu ambao walikuwa wanajua rlship yetu toka mwanzo kwa msaada zaid.
   
 15. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,869
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma mkuu, will try ma level best.
  Thnx
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280

  inaonekana hukuelewa au upo tofauti.....
  mtu amekiri kuwa ni yeye ndie aliekosea in the first place....
  sasa hapo mwanamke ana haki ya kudeka na kudeka...
  inachotakiwa mwanaume atafute njia sahihi ya kumfurahisha na kumsahaulisha
  sio kupiga biti......
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,928
  Likes Received: 83,491
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mkuu...wengine huwa na tabia hiyo ya kusema wamesamehe lakini ukweli ni kwamba hawajafanya hivyo. Mueleze ukweli jinsi ambavyo unavyompenda na pia kutaka muendelee na penzi lenu lakini kama bado unamuona ana dukuduku moyoni basi muombe akueleze kinachojiri hadi awe katika hali kama hiyo labda inawezekana bado kuna kitu kinamsumbua ndiyo maana anashindwa kukusamehe 100%
   
 18. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  The Boss,

  Unaweza kutafuta njia ya kumfurahisha mwenzio lakini yeye akawa hataki kufurahishwa, na muanzishaji wa thread amesema amefanya kila jitihada binafsi hamna kitu je wewe unadhani afanye nini?
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  umesema vyema
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Pole sana,
  Give her some space,she needs it,inakera mwanaume ukionyesha uko desperate kwa mwanamke......umemkosea,umetimiza wajibu wako wa kuomba msamaha na umemuomba yaishe yeye anakuchenga.....muonyeshe there is life without her,be strong my brother......

  Inawezekana alikuwa anasubiri ukosee afanye hilo,usijilaumu sana wewe ni mwanadamu tena mwenye busara umejirudi ukaomba msamaha,hata kama umekuwa na relationship 200,if she was not meant for you,ndo basi tena.....time is a healer,let time define her actions....

  Kila la kheri,ushauri wangu,mpe muda wa kuamua tena vizuri ukiweka time framework na ukamwambia,hajaamua by that time....LET HER GO,Mungu ni wa rehema,atakujalia mwingine au atamuelewesha kwa njia zake huyo dada thamani ya mwanaume aliyempoteza then atarudi na kama itakuwa poa utampokea ,kama sio itabidi yeye aanze maisha mengine.
   
Loading...