Huyu bibie wa ki Hispania, nimwambie aje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu bibie wa ki Hispania, nimwambie aje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bolivar, Jul 14, 2011.

 1. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wadau, miaka kama mitatu iliyopita nilikuwa na bibie mmoja wa Kihispania, alikuja bongo kwa mwaka na nusu, wazungu hawanivutii but this girl was exceptional, labda kwa vile alikuwa na hips na **** flani kiana, labda ni kimo chake na black hair labda vile hakuwa ule weupe wa karatasi she was a bit dark kwa std za wazungu So I got close to her and before I knew it we were kissing muda si muda we found ourselves in bed together. Daktari huyu wa meno nilishangaa kujua we had a lot in common, hasa hasa kwenye politicias, wanamuziki na waandishi wa vitabu tunaowazimia. Ila tukakubaliana hakuna commitment vile baada ya muda she would be going back. This was a perfect arrangement for me ukizingatia hakuna nachoogopa kama commitment na kinachonitisha zaidi ni kupenda toka rohoni.

  Labda nieleze historia yangu katika kupenda, kwa kweli nilipenda mara moja tu huko nyuma, binti mmoja mrembo wa haja. Nilimpenda kwa moyo na roho yote, she was my 1st love (not sex) na sikutazama wala kumfikiria msichana mwingine. Aliniambia hajawahi ku do na she didn't want to do it before marriage na mimi nikamkubali, I was true to her na nilikuwa tayari kumsubiri hadi ndoa. Tukapangiwa vyuo tofauti, miezi kama sita baada ya kwenda chuo mawasiliano yakaanza kupungua, nikaanza kusikia fununu, washkaji wakaanza kupiga vijembe kiana demu wangu kwenye chuo aliko anajamaa mwingine. Love is blind, masikio nilikuwa nimeziba, sikutilia hata shaka, nilimwamini kupita maelezo na dalili zote kuwa meli imeaanza kwenda mrama sikuziona. Then valentine moja nikaamua nimfanyie suprise, niliongea naye kwenye simu aniambie angekuwa anafanya nini valentine, akasema atasoma then akalale mapema. Nikafunga safari km zaida 500 for that suprise kufika chuo kwao straight nikaenda kwa room yake, only her met was there, yule mwanamke mhhh, kumwuliza wapi mpenzi wangu yupo, bila hiyana akanipeleka kwenye mgahawa ambapo she was having a candle light dinner with jamaa, that was shocking, niliwatazama kwa 20min kabla ya kujongea kwenye meza yao, sijui nilipata wapi ujasiri, alichanganyikiwa aliponiona, I just told her "U make a beautiful pair" akanitazama usoni then macho yakatua kwenye kazawadi nilikokuwa nimeshika mkononi, nikamwambia this is meaningless nikimwonesha ile zawadi. Nikaondoka kwa ustaarabu usio wa kawaida japo naweza kuwa mshari sana that was the painfull end of my 1st love Sikupata usingizi kwa siku kadhaa, ohh man that pain is unbearable, Baada ya hapo sijawahi ufungua moyo wangu, labda kuna ambao nimewaumiza lakini, kupenda its a risk I have never been able to take again. Bibie huyu alikuwa na ujasiri wa kuniface tena, nilitaka kujua ukweli, akaniambia she has been cheating on me for sometime, na jamaa alisha do naye so she wasn't a virgin an more, kikubwa zaidi alichonishangaza ni kuniambia bado ananipenda, yupo tayari kumwacha jamaa nikimpa nafasi eti kagundua kwamba ni mimi ananipenda, hadi kesho she insists that "I'm her only love", but that is door I closed and will remain closed forever, japo I must admit nimeshindwa kuacha kumpenda.

  Turudi kwa huyu bibie wa Kihispania, so we had a relationship kwa mwaka moja plus, apart from being my mpenzi she was a friend, hakuwa kama wazungu wengine (wanawake) niliowafahamu kwa maana kutaka kuwa juu ya mwanaume and being too demanding emotionally, but on the other hand she used to challenge me the way no other woman did, alinieleza mapungufu yangu niliyoyajua na ambayo sikuyajua kabla, alinibadilisha namna yangu ya kufikiri kimfumo dume kwa kiasi kikubwa. She made me a better man, lazima nikubali.
  Nadhani ni moja ya watu wachache walionisoma na kunifahamu sana, bila kujua na mimi nikajikuta nimemfahamu sana japo tulikuwa kwenye uhusiano kwa kipindi kifupi. She was a true friend na tulishare vitu vingi, I believe aliniambia vitu ambavyo hakuwahi kushare na mtu mwingine and she once said akiwa na mimi anakuwa huru mno, she didn't know why. Kwangu vile vile nilimwambia vitu ambavyo sikudhani kama ningeviweka wazi kirahisi. The other thing about her was her cookings. No other woman makes such delicious meals, kama mara tatu alinisuprise na vyakula vya kibongo, alijifunza kupika vya kibongo ili anisuprise, I was touched by the way she went out of her way to suprise me! I gave her a few suprises as well. Hakuwahi kunitamkia ananipenda, wala sikuwahi kumwambia nampenda. Sijui kama then nilikuwa na hisia za mapenzi kwake, I really do not know

  Muda wake huyu bibie ukaisha akarudi kwao, duuh nikamisi kishenzi ila vile tulikubaliana uhusiano ule ni wa muda ikawa poa, nikajua ntamsahau tu kama mademu wengine niliowahi kuwa nao ukiacha my 1st love Tukawa tunaandikia mara chache chache na simu mara chache zaidi lakini ikawa kama siku zilivyozidi kwenda ndio nikawa nam mis zaidi, ikawa nikikumbuka vitu alivyonifanyia na tulivyofanya pamoja anazidi kujikita moyoni, kushtuka nikabaini I'm in love! Huyu ni msichana wa pili kuushika moyo wangu, seems like the shield I covered my heart with did not help. Nikajidanganya to deal with such feeling I should find my self another girl, August last year alinipigia nikamweleza nina demu, akapunguza sana mawasilino (she would send brief e mail once in two/three months) lakini sijafanikiwa kumtoa moyoni mwangu, ni kama kila siku inayopita anazidi kuingia.

  Last Sunday she sent a very long e mail, anataka kujua hisia zangu kwake, ameniambia wazi she is in love with me! Hajui limetokeaje ila ni hisia ambazo amekuwa akizikabili kwa kipindi, she says she belives its love since she doesn't know why she feels the way she does, kwamba she has had a couple of dates toka atoke huku zinashindwa kwenda mbali, I'm too much in her mind! yupo tayari kurudi bongo tuanze upya. She made it very clear haoni hatia kuandika hivyo wakati nilimwambia I'm in a relationship since she is almost certain I'm not in love with the girl. if I feel the same yupo tayari kurudi bongo

  Hofu yangu ni kupenda kwa dhati kwa mara nyingine, nilipenda huko nyuma hadi leo nina kajeraha, hisia zangu kwa huyu mrembo zinashika nguvu kila kukicha, should I open my heart again au nimchinjie baharini, nijifanye sina hisia zozote kwake.

  Hadi leo J5 sijamjibu!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kama kweli na wewe una hisia kama za kwake basi fungua moyo wako kabla hujachelewa...
   
 3. BWANYEENYE

  BWANYEENYE Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 2, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhhhh mi mdogo subiri wakubwa waje kukushauriii brooo.....
   
 4. D

  Dr Kingu Senior Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole kwa yaliyokupata. Kuhusu huyu mzungu mi nafikiri kama unamfeel as u said na yeye pia anakufeel as u expressed. Mi navyowafahamu wazungu wakipenda wanamaanisha kweli na watu ambao wanamsimamo hawana tabia za kucheat kama tulivyo wabongo. Nakushauri open the heart to her and find the way to visit her too. Uone anavyojiexpresstakiwa kwao na atakavyokupokea. Nakama mlikubaliana ni kwa muda tu na sasa amerudi na kutaka ya kudumu sasa naona anachosema ndicho anachomaanisha. Goodluck.
   
 5. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nahisi kama mnapendana kwa dhati.............lakini kama vile mtakuwa na uncertain future hivi?
  Je tamaduni za kwao umezisoma vizuri hasa za kimahusiano?
  Umewahi kuwa na ndoto za kuwa na mke mzungu?..........akija mkaendeleza mapenzi.....nini unategemea baada ya hapo?
  Na yeye anategemea nini kitokee zaidi ya mapenzi?
  Angalia future zaidi..........na nini unataka kwenye maisha yako..........si vizuri kupoteza muda tuu kwenye mahusiano bila malengo....
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...wewe unampenda, yeye anakupenda. Tatizo ni nini ilhali mlishaishi pamoja?
  Unaung'ang'ania mlango ulokwishajifunga, (ex-gfriend wako) wakati dirisha la
  kutokea li wazi?

  Ushauri wa bure. Acha kuomboleza msiba uliokwisha, move on with you life,
  Open your heart...! fungua moyo wako kwa mrembo wa kihispania, achana na huyo
  'marehemu'
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Are you ready for commitment? B'se umesema hakuna kitu unachoogopa kama commitment. If you aren't then you better wait until you're. Pili, umejichukulia kama wewe ni victim pekee wa kuwa cheated. Kama watu ambao wamekuwa cheated wangebamiza mlango kama ulivyofanya wewe, sidhani kama kungekuwa na mahusiano humu duniani. There are loadz of victims. You're not the only one. You must be an open book. Forget your personal tragedy. We are all bitched from the start and you especially have to be hurt like hell before you can write seriously. But when you get the damned hurt, use it-don't cheat with it.
   
 8. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  uandishi mzuri.
  Mpe limoyo lako alipende nawe uendelee kulipenda lake.
  No fear no tearz.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kaka kama na yeye akiwa umbali huo kaamua kurudi kwako mpokee kwa mikono miwili! she is for real!
   
 10. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hongereni sana kwa kupendana. You should take it positively. You have what u dream of,then listen your conscience even though you should be able to think of the present cultural difference when u thnk of marriage.
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mbu keshaongea yote hapo juu. . . .

  Kazi ni kwako. . .
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbu yako nimeipenda imekamilika! yani asijizuzue kwa Marehemu.
   
 13. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  duh, hii kitu unaweza andika kitabu.

  Anyway, mi naona kama huyu mspaniola ndio mke.Maana hakuna mke mzuri kama rafiki!
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Move on with your life and OPEN YOUR HEART.
   
 15. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  unasubiri nini kumjibu wakati na wewe moyo wako unampenda
  please fungua moyo wako mpe jibu haraka na ucje mwambia una mtu huwezi kuwa na mahusiano nae wakati unampenda japo ulikuwa hujamwambia na baadae usije ijutia nafsi yako
   
 16. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nashukuru Dr, ushauri mzito huu, ila swali jingine nimekuwa najiuliza, uhusiono wa awali ulikuwa casual, huu wa sasa utakuwaje? utakuwa kama awali au she will be more demanding? Sijaweza tengeneza picha bado
   
 17. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Bellerina kumpenda nampenda, inapokuja kwenye tamaduni za mahusiano wenzetu hawa tuko tofauti nao ktk at least vitu viliwi, kwenye uhusiano wako straight na ni waaminifu zaidi yetu, kwenye swala la ndoa huwaga naona kama wanaweza kutoka muda wowote wakiboreka, divorce si ishu kwao. Katika hili la divorce I'm still old fashined, mimi naamini ndoa ni kufa na kuzikana. Kuwa na mke mzungu sijawahi fikiria huko nyuma ila nimeanza kulifikiria. Huyu bibie nadhani anafikiria ndoa ila si unajua kwao haiendagi fasta kivile, anaweza kutaka mkae pamoja hata five years kabla ya kuingia kwenye ndoa!
   
 18. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Dont be too hard on yourself bro........forget the past and move on.
   
 19. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  Hadithi nzuri sana,by the way there's always second chance.kuumizwa sio mwisho wa kupenda,bahati nzuri nilipitia story Kama yako Nila give up kupenda.baadae saaana nilipata mwenza wa maana na mpaka sasa we have a loverly family.jitoe muhanga Tena uhangaike na huyo binti.bahati nzuri sana relationship yenu imeshakuwa long enough kukufanya usiwe na doubt
   
 20. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Well-said, Mbu.

  Bolivar, fungua moyo wako. Umeumizwa, sawa. But if it didn't kill you, it has made you stronger. Hatuwezi sema kwa uhakika kuwa uhusiano na huyu mhispania utakuwa tambarare siku zote. Lakini if you feel in your heart that she is the one, do not delay kaka. Second chances in love are rare.

  All the best.
   
Loading...