Nampenda mlemavu wazazi hawataki...!

The Winner

Member
Jul 9, 2011
34
3
Mambo jf, ninarafiki angu ana boyfrend wake ni mlemavu na wanapendana sana,(kwa maelezo yake lkn)na urafik wao una 2 years mpaka sshv,boy amempa mimba huyu myfrend na anataka achukue jumla ttzo wazazi wa huyu dada hawamtaki huyu kijana eti kisa mlemavu,rafiki angu amechanganyikiwa....! tumshauri jama huyu dada.
 
Huyu dada kwa maelezo yake ni kwamba wazaz wake walishazipata taarifa za huyo mlemavu mda mrefu lkn wakamwambia aachane nae yeye akawa hasikii wala haoni.
 
Awaweke chini wazazi na awaeleze namna anavyopenda huyo jamaa. Kama vipi aachane na wazazi na aolewe na huyo jamaa kama anampenda kweli!
 
kwani huyo jamaa anawaoa wazazi au binti, aache wenge kama kweli anampenda waoane hata kama ni by force.
 
Amlilie MUNGU awaongoze wazazi wake wabadili fikra zao zilizopitwa na wakati
 
Ndio hivyo tena wazaz hawataki kumsikiliza bint yao,bint nae hali yake c nzur sana kwn anakiumbe tumbon na wazaz hawamtaki kijana sasa sijui tumsaidieje huyu myfriend..!
 
LOVE is always blind!!!!!unapopenda angalia moyo wako,wazazi ni kuwashirikisha tu,kimsingi hawa haki na uwezo wa kumzuia mtu moyo wake ulipodondokea!!!!!!!!!!!!Just carry on with your lover,mwambie hivyo
 
Hao wazazi wake ndo walemavu wa akili kabisa yaani 2011 bado wana mambo ya 1811? Binti tena kama wanataka kuoana waende boma tu na mungu ataibariki ndoa yao....
 
Huyu jamaa japokuwa ni mlemavu wa miguu lkn ni mtu mwenye kazi yake na elimu ya kutosha tatizo wazazi wa binti wanadai eti kuolewa na mlemavu ni kuleta mkosi ktk familia...!
 
Back
Top Bottom