mke wa mtu ananipenda

pumbatupu

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
256
82
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...
 
mkuu solution mbona rahisi ... mwambie sitaki wewe ni mke wa mtu! si nzuri kimaadili na pia zinaa imekatazwa ndani ya dini zetu! ukimkubali utakuwa msaliti wa wanaume wooote humu duniani.. kumbuka , ukichafua kitanda cha mtu.. na chako kitakuja kuchafuliwa siku moja ..

tc!
 
Mkuu heshimu ndoa yako, kisha fikiria kuwa kama ungekuwa wewe ndiye uliyesafiri alafafu kuna mtu amefanana na wewe hivyo mkeo anaomba aku replace kupitia huyo jamaa je ungemuunga mkono? Ni kweli kabisa zinaa hulipwa kwa zinaa hivyo chakachua uchakachuliwe.
 
mkuu solution mbona rahisi ... mwambie sitaki wewe ni mke wa mtu! si nzuri kimaadili na pia zinaa imekatazwa ndani ya dini zetu! ukimkubali utakuwa msaliti wa wanaume wooote humu duniani.. kumbuka , ukichafua kitanda cha mtu.. na chako kitakuja kuchafuliwa siku moja ..

tc!
ushauri wako mzuri, unadhani inawezekana kumwambia moja kwa moja kwa na isilete usumbufu???
 
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...

Thread za namna hii zimetuchosha jamani...haipiti siku isije kama hii aitha mke wa mtu au mume wa mtu......
 
Kwanza hakupendi huyo,anataka mfanye ngono,usifananishe ngono na upendo,hivi ni vitu tofauti sana,pili wewe kama hautaki kweli unajua cha kufanya,otherwise unataka!
 
pumbatupu samahani lakini,issue kama hii inataka usaidiwe vipi kimawazo?wakati wewe mwenyewe tayari unalo jibu.unajua kama sivyo na haifai ila mpaka uulize humu?nakupa samani nyengine kama utakwazika
 
Sugar hujambo best,tatizo huyu mama anajigongesha mwenyewe oooh umefanana na mume wangu,oooh hata akijuwa hatasema kitu,saa zingine uzalendo unakushinda unamsaidia mara moja tatizo mmoja wao au wote wanaweza kunogewa,hapo sasa.
 
Please, don't try to do that! Just imagine, ikitokea mkeo naye amekutana na mtu anayefanana na wewe naakaomba amegwe kidogo, wewe ukisikia utajisikia fresh?
 
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...

Kama una mke unaona tabu gani kwambia huyo mwanamke kwamba u mume wa mtu na u are not interested? Atakuletea matatizo hiyo ndugu yangu mkalie mbali, mpende mkeo!!
 
sijui ni kiswahili changu, hivi kampani inamaanisha ngono? kama ni kampani ninayoelewa mimi, the lady is lonely. mnaweza kumpa kampani wote na mkeo. introduce her kwa mkeo, actually mkeo atampka kampani nzuri zaidi kama kwenda shopping na mengineyo. hapo mzizi wa fitina kuleee! ndugu, Bible inasema ''mwanamke atamlinda mwanamume''. weeh ukiona unashawishika wasakizie kwa mkeo uone!

Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...
 
Kwa Ushauri wangu wewe fanya juu chini mlete hapo kazini kwako Mke wako kisha umkutanishe na huyo Mke wa Mtu kisha umfahamishe Mke wako huyo Mke wa Mtu ni Dada yetu wa hapa kazini alikuwa anataka kukuona awe rafiki yako, hapo ndipo utammaliza huyoı mke wa mtu atakuwa hakupendi na itakuwa ndio dawa yenyewe na kuanzia hapo umwite jina la (dada Fulani) usimwite jina lake pasipo na kumwita jina la (Dada) . Huo ndio ushauri wangu
 
Mke wa mtu sumu usizini nje ya ndoa mkuu kama kaomba company na ni mtu wa nyumbani bora muwe karibu kama family friend tu then amsubiri ampendaye
 
hivi JF tuwe serious , kila siku watu wanakuja na same story, mke wa mtu , mke wa mtu, get serious jamani, he knows the consequences na ndo maana anauliza, wewe kama hujipendi, endelea. kama hujaoa tafuta mwenzako ambae hajaolewa, kama umeoa kaa na mke wako.
unapokuwa na wasi wasi wa kumwambia ukweli ina maana una nia ya ku-du na huyo mke wa mtu, nikikuona hata kama sio mke wangu, nakutwanga mangumi.

note:
kuna jamaa alishauri tuanzishe jukwaa la ndondi, mie nashauri tulianzishe, halafu watu kama hawa wanaotamani wake/waume za watu wawe wanapekelwa huko na kutwangwa mangumi
 
"27"Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini'. 28Lakini mimi nawaambia: kwamba ye yote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29Jicho lako la kuume likikufanya utende dhambi, ling'oe ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima utupwe jehanam."
 
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...

wewe tenda tu hiyo dhambi ya uzinzi, lakini kumbuka kuwa utapigwa SANA, hapa unatuyeyusha tu wakati tayari majibu unayo na maamuzi ulikwisha yafanya siku nyingi, unachotaka hapa ni kusikia kile ambacho ambacho unataka kusikia yaani unataka tukuambie kuwa "mto@#$%B^&*....e....!@<>;":..." na sisi tumekushitukia, hatukuambi ng'oooo....!!!!! kumto#@$^&B^&**(()***>:;;;....a@##$ASDDFGHJKL<MNBVCXZ
 
Back
Top Bottom