Kanizungusha 4mnths anankubalia leo

4months unamfuatilia,...mmmmmh!...lakn sijui lengo lilikua nini,maake kama lengo lilikua kumuoa ni poa lakn kama nia ni mapenzi ya kupita ni ngumu kumeza,.......anyway inawezekana kwa muda wote huo umemrubuni aingie kingi mkuu
 
Kwani wewe hiyo miezi 4 ulikuwa hutafuti ndogo ndogo nyingine?

Pole kaka, wenzako wakati wanazungushwa hivyo, basi ujue wanapiga kona, wanaakula kwingi
 
Sijaelewa,hapa umetoa statement au una2taarifu kuwa ushampata mwingne?
 
Na wewe mzungushe.

Kwa miezi hyo miine umechunwa shilingi ngapi. Maana kuna mademu wanafaidika zaidi kwa kuwazungusha watu huku wakiwapa matumaini. Maana akishakubali mapema anajua wanaume wengi hawachuniki sana.

Upo hapo???

4months unamfuatilia,...mmmmmh!...lakn sijui lengo lilikua nini,maake kama lengo lilikua kumuoa ni poa lakn kama nia ni mapenzi ya kupita ni ngumu kumeza,.......anyway inawezekana kwa muda wote huo umemrubuni aingie kingi mkuu

bora umemwelewesha,
miezi 4 unataka kuoa hapo?
kama ni kupangusa tu vumbi ili upite kwanini kuhangaika hivo?
 
Halafu nshapata mwingne...
It could be more than four months! You know what? Nafasi siku zte huwa zimejaa, na ukiona unazungushwa, ujue she is doing well with her present boyfriend. Ukiona sasa anakukubali, there are two things involved:
1. Ameshaachwa na huyo boyfriend wake, so the room is open
2. Amemchoka, lakni anashindwa kumwacha kwa kuwa hawana conflict yoyote. So you are just being offered a token.
 
Two thinks involved '' malizia kama page mbili ukishuka mistari nimeipenda hiyo. Only and only if your player u cant be offended by love. Because u sound descent and un informed u have a lot to study. Mzee nakuamini uliyoandika hapo juu mpe kijana somo asije siku akaandika nimetendwa.
 
Back
Top Bottom