Natafuta mchumba....!!!

nzedanze

Member
Jul 13, 2011
44
1
Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na mvumilivu,umri awe chini ya miaka 24.
 
Kwani facebook wameisha?humu jf ni wa2 na ndoa zao ,ebooo!!
 
Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na mvumilivu,umri awe chini ya miaka 24.
taja na wewe sifa zako.
 
Ok..mm ninaelimu zaidi ya 4m...mpole kidogo kama sijachokozwa...mara nyingi napendwa na wanawake warefu na weupe kidogo (aka maji ya kunde)...Bado sijaeleweka?
Kumbe tayari ushapendwa!! Sasa unatafuta tena mchumba wa kazi gani? Hao ambao wanakupenda hawafai?
 
Maelezo ya wasifu wako yanawalakini kijana,mara nyingi UNAPENDWA na wanawake warefu na weupe kidogo? Kwahiyo kt ya hao hujampata mchumba?Kuwa muamini wa aliyejuu kwani yeye ndiye wakukupa mchumba!!
 
Tatizo ni wake za watu,hakuna kitu ninachokiogopa kama kutembea na mke wa mtu...harafu mbaya zaidi ni wake wa maafande si msiba huo?
 
Maelezo ya wasifu wako yanawalakini kijana,mara nyingi UNAPENDWA na wanawake warefu na weupe kidogo? Kwahiyo kt ya hao hujampata mchumba?Kuwa muamini wa aliyejuu kwani yeye ndiye wakukupa mchumba!!
Ni wake za watu...na mm sitaki nikojoe dagaaa
 
Humu sio rahisi kumpata kila mshikaji ana mwenyewe, na unataka wakukulisha ww na watoto sasa mume wewe au yeye? na wewe elimu yako umeishia wapi?
 
ni kweli mume yy au uyo m'mke ,bcz awe na kazi y kuwalisha yy na watoto
 
Humu sio rahisi kumpata kila mshikaji ana mwenyewe, na unataka wakukulisha ww na watoto sasa mume wewe au yeye? na wewe elimu yako umeishia wapi?
Basi hata kwa jirani....natakaka alishe watoto mm nitajenga na kuwasomesha maana uwezo huo ninao maisha ni kusaidiana si wao wenyewe wanataka haki sawa sasa iweje majukum,u yote yawe kwangu...? na kama hawezi hayo mashart bac,ok mm elimu yangu ni chuo..chuo gani atafahamu baadae atakae kua mhusika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom