I was his Ballerina Girl...bt I dumped him cuz i loved him so much. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I was his Ballerina Girl...bt I dumped him cuz i loved him so much.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ladywho, Jul 22, 2011.

 1. l

  ladywho Senior Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni miezi sasa imepita tangu nijivue gamba la mapenzi. Nimebaki mpweke ili kuepuka maumivu ya roho. Nilimdamp huyu mtu baada ya kugundua nilimpenda sana kiasi kwamba nisingeweza kuishi nae kwa raha kwani wivu wangu ulipitiliza na ningekuja kufa BP! Alipendwa na wengi nami nilipenda awe wangu tu, sikutaka share. Alikuwa fisadi wa pendo le2! Ktk kipind hk cha mpito yataka moyo kweli! Am micn him so much, natamani kumpigia nickie japo sauti yake...! Everytime i hear Ballerina Girl song i do melt with.......! Najipa moyo nitamsahau na atampata atakaemfaa maishani though he insisted am the only balerina girl of his lyf.
   
 2. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thats a good choice my sister! You don't have to destroy yourself because of unstable love. Just focus on what you think is better for your life, and time will come when you 'll find the love of your life. Just keep on praying and preserve your dignity!
   
 3. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gud girl nimependa maamuzi yako utampata ataekupenda kwa moyo wake wote achana na huyo play boy
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa jiunge na kilimo kwanza utamsahau so soon
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Which dignity?.......................hujasoma pale aliposema kuwa amefisadiwa tayari?
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tehe tehe tehe,

  Kilimo kwanza na mtu wa mjini!
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Yaani kosa lako na wivu wako mwenyewe umepelekea kumdump mwenzako, jaribu kujiamini na kuacha wivu unajuaje kama yeye hakupendi


  Kupendwa na wengi kwani ni tatizo lake..?, hapo kwenye fisadi wa penzi sijakuelewa.., Je alikuwa ana-cheat.., kama alikuwa anacheat basi una kila haki ya kumuacha lakini kama ni hisia zako zinapelekea udhani kwamba anacheat basi haumtendei wala kujitendea haki...

  Live life one moment at a time and cherish and enjoy the moment.., dont live by being afraid of the inevitable (you remind me of chicken run who was afraid of the sky falling on him)

  Kwahiyo kama unampenda na hajakupa sababu ya kumuacha (sijakuelewa kwenye fisadi wa penzi) wewe endelea ku-enjoy cherish the moment sababu its not the years in your life its the life in your years..., ni bora kupenda na kuenjoy kwa siku moja kuliko kuishi a lifetime ya bila penzi
   
Loading...