Sababu za wanaume heshima kushuka ndani ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu za wanaume heshima kushuka ndani ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mambomoto, Jul 22, 2011.

 1. m

  mambomoto JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Sababu za wanaume heshima kushuka ndani ya ndoa hata kupelekea maneno ya kejeli kutoka kwa wanawake eti "Wanaume suruali" au Dar hakuna wanaume
   
 2. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilifikiri umefanya utafiti na kwamba unamwaga data hapa kumbe na wewe mwanaume suruali au?
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hivi ulikuwa unataka kusemaje?
   
 4. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukosefu wa pesa, kupungua kwa nguvu kunako mambo fulani pamoja na kutokujiamini ndiyo sababu kuu zinazochangia tatizo hilo!
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Siamini unayosema,kushuka kwa hofu ya Mungu ...kukataa wajibu wetu .......... kutofuata maandiko yanatufundisha nini kuhusu ndoa.

   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwani wewe unadhani ni kitu gani?
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Siyo kweli,labda unipe data ni ngapi,kama unawajibika hamana kitu kama hicho.mwanaume ni mwanaume tu.
   
Loading...