tafakari,ya wikendi hii

Kilambi

Member
Apr 3, 2009
94
18
Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba
  • Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake
  • usiwe mpweke
  • usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi ulivyo
  • kuwa rafiki wa kweli kwa watu wote
  • kuwa makini kwenye sala, boresha uhusiano wako binafsi na Mungu
  • ipende,ijali,ithamini na itunze familia yako
  • kabiliana na matatizo yako mwenyewe,usiwe mtu wa kulaumu watu wala kulipa visasi
  • kuwa na furaha, wenzio wanapofanikiwa onyesha furaha ya kweli
nikutakie wikiendi njema
 
nashkuru mkuu u enlight my day hommie,na hapo kwenye red pananihusu sana
 
kaka hii kitu kiukweli nimeiunga mkono asilimia zote imetulia sekta zotee
 
Ni kweli kabisa kiongozi,..
In this world full of sin,its you and yourself,.....dont forgetting that 'The distance between you and your God is the same as_you and yourself'......good stuff
 
Back
Top Bottom