Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Peter Fabian, Jul 18, 2011.

 1. P

  Peter Fabian Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani niambie nifanye nini ili huyu binti ninayeenda kukutana nae jmosi asinione boya maana sijawai kuwa na msichana tangu nibalee!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwani umebalehe lini ndugu?
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Umemtongozea facebook nin,mana ni ajabu kukutana na m2 unaemjua afu useme unamuogopa?
   
 4. charger

  charger JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kunafunguo zina holder kama ya BMW nunua hiyo uwe unatikisa tikisa kwenye maongezi nasikia hao watu wanapenda sana wakijua unatembea huku umekaa
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huna haja ya kwenda kumuona, wewe lala tu home, au tafute shughuli ya maana ya kufanya.
   
 6. P

  Peter Fabian Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da na miaka 21 sasa
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 1,017
  Trophy Points: 280
  Umri wako tafadhali!
   
 8. P

  Peter Fabian Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kwamba namuogopa ila sijawahi kukutana na demu chumbani!
   
 9. P

  Peter Fabian Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da mtoto hanashida kasha kaa juu ya mstari ila mi ndo cjui kitu!
   
 10. P

  Peter Fabian Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini?
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Siku ukiwa naye mwambie akufundishe mdogo mdogo, utaelewa tu...
   
 12. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watoto mnaokua mna shida sana........................hujui kitu huku unajisifia "kasha kaa juu ya mstari"..............mstari upi huo????

  Na chumbani unamwita kufanya nini?...........social centres za kufanyia maongezi zimefungwa zote?

  Just 21yrs............unajihamasisha kufanya ngono..........................si mwanafunzi wewe?.........huna shughuli ya maana ya kufanya?

  Mbona umevumilia muda wote huo.........peer pressure inakusumbua eeh?.....wenzako wanakucheka eeh?Kama ni hisia ulizonazo,ni za kawaida sana kwa vijana wa umri wako..........maana yake ni kwamba wewe ni mwanaume rijali.Huhitaji kufanya ngono ili kuonyesha urijali wako.

  Mi nakushauri kama dada yako.................endelea kuvumilia.................usiingie kwenye mkumbo, nadhani madhara unayajua na ndio maana uliweza kuvumilia muda wote huo.......................

  Fanya mazoezi.................lazima utakuwa mwanafunzi................soma kwa bidii..............tumikia imani yako ya kidini..............kuwa karibu na wazazi wako hasa baba yako.......nadhani anakupenda na anapenda maendeleo yako...........muombe ushauri yeye........

  Huyo rafiki nenda nae outing sehemu ambayo ni mkusanyiko wa watu wengi................epuka kukutana nae kwenye private.
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  ushauri wa kinafiki huu.
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu, huna sababu ya maana ya kwenda kuonana naye zaidi ya uzinifu tu.

  Kama unasoma au upo shule ama college maliza kwanza, hayo mambo utayakuta tu, hayana mwisho hayo...!
   
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Kimbia kabisa wala usigeuke nyuma.
   
 16. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Namshauri kama mzazi au mlezi.....................na nitasimamia hapo!
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mzazi mwenye mtoto wa miaka 21 anayeshinda jukwaa la mahusiano na mapenzi anahitaji ushauri zaidi ya kijana wa miaka 21 anayetaka kuanza sex, do yourself a favor jishauri mwenyewe.
   
 18. P

  People JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Akifariki bado atakuwa anayafanya hayo mambo?
   
 19. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aliyekwambia mzazi/mlezi lazima awe amezaa ni nani?..............Tunaposema watoto wa siku hizi hawana maadili tumewazaa?

  Am aged enough kuitwa mlezi......na nimeelimika vizuri kuhusu vijana/ujana na malezi........................so karibu kwa ushauri hata wewe ukipenda!
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  usiwasikilize hao wanafiki, mtu wa miaka 21 unamuambia asubiri nini sasa.
   
Loading...