Watoto....best interest..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto....best interest.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RR, Jul 21, 2011.

 1. RR

  RR JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Najua wengi wetu mmeshawahi kushuhudia au kuishi ndani ya ‘single parenting’……ama maisha ya magomvi muda wote….namaanisha kuwa mzazi kati ya migongano ya kimahusiano….
  Mimi (ex. st) RR nawashauri ‘single parents’ (wale walio kwenye magomvi)

  • waache kutumia watoto kama zana ya kupigania uhusiano wao….. au kama kifaa cha kumwadhibu mzazi mwenzake….(hapa wengine hata hupandikiza chuki kwa watoto dhidi ya uapande wa pili).
  • waache ubinafsi katika kufanya maamuzi yahusuyo watoto….sio vizuri mzazi akaruhusu mtoto akakaa na mzazi mwengine, hata kama kisheria mzazi huyu ana uwezo wa kung’ang’ania …as long as it is of best interest to the kid….mfano sioni ulazima wa baba kumchukua mtoto kwa kisingizio cha mtoto kutimiza miaka saba ya kisheria au mama kukataa mtoto asikae na baba kwa akisingizia mtoto hajatimiza miaka saba!
  Kumbukeni....mzazi wa mwanao akipata maumivu….basi hayo maumivi yanamfikia mtoto…in some ways!
  Ni ushauri tu!
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni ubinafsi ule ule uliotumika kumtenda mwenzi wako ndi unakuskuma kuona kuwa uendelee kumkomoa kwa kumyima ama kumzuia kuishi au hata kumtekelezea mwano mahitaji muhimu.

  Naungana na ex Saint!

  Watoto ni tunu na zawadi kwetu sote ; tulielwe hilo na hata tutakapohitilafiana isiwe ndio uchocoro wa kupitishia makombora yetu

  Nawapenda nyote.................salam kwenu binamz wote.........nilikaribishwa Usaluleni.............I missed you!
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160

  Sijui kwa nini hamna kampeni za 'BETTER SINGLE PARENTING'
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Umetoa ushauri mzuri saaana… but hili ni tatizo kubwa mno, Tatizo ni kwamba wazazi weengi wako soo selfish wakisahau kabisa kua hivo wafanyavo watoto wanaona, na hizo chuki wanazowajenga watoto (amchukia step parent…) ni sumu, unamjenga mtoto kua na tabia ya ovyo akikua… La msingi inabidi wazazi wafanye loloto watakalo juu yao but maovu yao yasihusiane na mtoto… Bahati mbaya saaana ni wachache wanaweza hili, hivo katika jamii ukimuona mtu wako wa karibu inabaki tu kupeana ushauri… Na ni ngumu kweli kuizuia… Sad.

  Nafikiri la muhimu pia ni wahusika kujua ni kitu gani hasa kinafanya wao wakomoane??
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Ni tatizo kubwa sana Ashadii.....ila mara nyingi watu wa aina hii wanabadilika kiasi fulani, kama wakipata ushauri...do your part Ashadii....
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I do my best... starting with me mwenyewe... Alafu umegusia hio campaign... i believe it is a matter of you kufuatilia that iif you have time unaweza introduce hio kitu, yaweza kua of Great help...
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Mi sina tatizo na ex saint, issue yangu ni Motivation ya kurusha hii sredi. LOL

  Naruhusiwa kuwa na assumptions hapa?
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Ukiacha hii kiibodi ninayotumia sasa hivi...sijawahi kufanya kampeni yoyote ikafanikiwa :typing:....orite...labda ondoa ile ya kumnasa mamsapu wangu....

   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Ya hommie...we fanya assumptions....ila zilenge 'better single parenting'......hivi hapa unatafuta nini asee........
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Shukrani kwa wazo.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Fanyia kazi.. you need my assistance and input (from afar...) tell me, naweza kua of help....
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Ex-st RR umetushauri vema kabisa .........Kwa interest ya mtoto.

  Kajiswali tu hapo penye red: Mtoto wa mwaka mmoja mfano (Si ni chini ya Miaka saba) anakuwa na interest ambazo zinawezamfanya mzazi azizingatie na kumruhusu akakae kwa Baba?

  Swala la miaka saba au la nadhani huwa pia linazingatia na uwezo wa mzazi au?
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kaizer; unaruhusiwa................NImesomeka?
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  LOL kwa hiyo hapa ni kwa masingle parents au sio.....
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  So Ex Saint RR hebu tuambie kampeni ngapi za keyboard zimefanikiwa aisee and dont lead my AshaDii into temptations..
   
 16. RR

  RR JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Zaweza kuwepo...japo labda hazitoki kwa mtoto.....
  Hivi mzazi wa kike akikosa uwezo wa kukaa na mtoto wa miezi miwili (labda sababu za kimaisha ama ugonjwa)...kwa nini baba asipewe jukumu hilo kama anaweza?

  Rai yangu ni muda wote kufanya maamuzi yanayozingatia masilahi ya mtoto kwanza....
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  hebu msome RR hapa chini katikati ya mistari..

   
 18. RR

  RR JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  No....no......connecting the wrong....lol
  Hommie hebu kakae kwenye ile sredi ya asipirini....ila uwe macho na pau!
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  hommie baba anakaaje na mtoto aw miezi miwili? atamnyonyesha? nadhani hapo ingekuwa kuweka mazingira wezeshi, ya kumsaidia mama/mamdogo/shangazi/ili waweze kuziba pengo la mama

  Kumbuka baba anatambulika kwa majukumu yake,,,nazungumzia maslahi ya mtoto zaidi hapo
   
 20. RR

  RR JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  You are right.......ila ni vema baba akapewa nafasi ya kwanza baada ya mama....hiyo ya mama mdogo/shangazi n.k itoke kwa baba...
  Kuna kesi nimeona mama kung'ang'ania mtoto ilhali hana uwezo kabisa wa kukaa nae....ofkoz akizingatia zaidi maslahi yake....
   
Loading...