Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana katika harakati za kutafuta mafuta na kidumu nikajikuta nakatisha maeneo ya Mwananyamala. Kwa kweli nilicho kiona pale siku amini macho yangu kweli ni kizazi kipya au ndo hivyo watu wanapenda...
3 Reactions
33 Replies
13K Views
Hivi ni kwa nini wadada wengi huwa wanapenda kuchezea nywele za vifuani mwa wanaume pindi wanapokua faragha?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Baada ya kusimamishwa kazi mambo mengi yalikwama kiasi cha kutimuliwa kwenye nyumba nliyokuwa naishi anga za Sinza. Mama mkwe alinibembeleza sana nikakae nyumbani kwake Tegeta ambako ana nyumba...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakati watu waliokuwemo kwenye ndoaa uchunguzi umeonyesha wengi wanatamani kutoka huko kwa namna yoyote ilihali wawe huru pamoja na kutoka kuna wengine wanafikiria je nikitka ntaweza kuolewa tena...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pengine waweza jiuliz a kwa nini wanaume wengi hata wakutane na wanwake kama malaika wasiojua kutoka nje lakini wanashindwa kujiheshimu??je wewe ni mmja wa haka kagonjwa?? Wenye uzoefu...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Ramadhan kareem! kama ilivyo ada watu tunapenda mambo ambayo wenzi wetu wanayapenda hasa katika suala la mapenzi. Lakini je ushawahi kujiuliza udhaifu ulionao mwenyewe? Haya sasa tuambiane...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
mh wana jf nisaidieni..mimi naishi na mjomba wangu na yeye ndie kama mzazi wangu kwa hapa jijini,lakini nina mama yangu mzazi yupo mkoani huko na hapa jijini nasoma chuo mwaka wa pili naingia wa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
du hii migao imezidi huku arusha leo ni siku ya tatu hatujaona umeme , mafuta pia mgao shell zote zatoa mafuta kwa mgao , maji pia mgao bila umeme maji hakuna huku, chondechonde msije kuleta migao...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Nipo hapa kijiweni kama kawaida nang'arisha viatu,washkaji kama kawaida wamejaa kijiweni wakilonga kila mtu alilonalo analiwasilisha na mijadala imepamba moto hapa.Kwa kweli kijiweni kuna raha...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wana JF, niliwahi toa mada yangu hapa kuhusu ufungaji wa ndoa kwa maharusi walio wengi siku hizi unakuta tayari bibi harusi ni mjaa mzito, sasa hii ndo staili ya kisasa? hebu fungua hiyo linki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bila shaka wewe msomaji unayesoma hapa utakubaliana na mimi kuwa umeshawahi kuzisikia kauli hizi kutoka kwa wanaume pale anapozungumziwa mwanamke mzuri kwa sura na umbo. Kwa kawaida vipimo vya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hapa Tanzania ikitokea ikatakiwa watoto wapige kura za siri kumchagua mzazi wanayempenda sana je kati ya baba na mama yupi atapata kura nyingi zaidi katika makundi yafutayo na ni kwanini unafikiri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
asalam aleikhum ! asee ni hiden fact kwamba wengi tumezoea kuwa wivu ni mali ya mapenzi yamhusuyo mwanaume na mwanamke waliokatika mahusiano ya mapenzi lakini tafakari situation hizi,i will make...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mimi ninakaa na kaka yangu na shem ambaye pia tunaishi na mtoto wa dada yake (huyo shem) ambaye mimi nina mahusiano naye ya mapenzi siri now ni kama mwaka 1 umeshafika,nileinda chuo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio...
1 Reactions
82 Replies
10K Views
Lilia kibali cha mungu pengine weewe ni wale wanaohudhuria harusi za watu tangu uzaliwe wewe ni kuhudhuria na sasa unazeeka huna mke ama mume leo nakupa njia ya kumwomba mungu akusaidie hili...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wanajamvi hivi ni umri/muda gani wa watoto wanaozaliwa wanastahili kupishana kati yao ili waweze kupata vizuri huduma stahiki na mpango mzima wa afya zao?Je kuzaa nako kunastahili kuzingatia umri?
1 Reactions
60 Replies
18K Views
Kuna rafiki yangu maisha yake yalikua mazuri sana alikua mjasiriamali mzuri amepata hela za kutosha. kwa bahati mbaya miezi kama 4 nyuma alivamiwa na majambazi wakampora kiasi kikubwa cha hela...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi wote lakini zaidi waishio Arusha,.. Leo ninaleta ombi langu la dhati kwenu,. lakini kabla sijawasilisha nieleze kwanza kwa kifupi kilichonisukuma humu leo.. Katika haya maisha...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…