Mwenye mapenzi ya dhati ni huyu hapa!!!!!!!!!!!!!

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
5,322
Points
1,250

First Born

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
5,322 1,250
Jamani hakuna ambae si shahidi wa maswala ya mapenzi kwamba ni kwa jinsi gani yanavyotesa,
lakini, ni nani sasa ambae anaweza kuwa ndo anaaminika kuwa na upendo wa kweli?

sorry nitakuwa nje kidogo na maswala ya malovee lakini still niko kwaenye point inayohusiana na upendo,

ni kweli mimi nawaamini ingawa sio wote, namwamini kwa kiasi huyu mtu
mama, kwa sababu,
1. ndo alienizaa, akanitunza hadi kuwa mkubwa
2. nilipozaliwa tu alipunguza mapenzi kwa baba akanihamishia mimi, nilikuwa siwezi hata kuzuia shingo
3. nilipopata shida yeye ndo alikuwa wa kwanza kunionea huruma huku baba akijidai hard core
4. aliposikia nimepata ajali aliangua kilio tena kwa sauti huku akilia mwanangu mwanangu
5. nilipokuwa natembelewa na wasichana wasioeleweka yeye alinigombeza na kusema wataniua kwa UKIMWI, lakini baba aliniona niko sahii kwamba eti kidume chake nimeshaanza kupendwa
6. siku naenda shuleni mama aliniandalia vitumbua vya kutumia nikiwa ndani ya basi
7. asubuhi mama ndie aliehakikisha nimepanda gari, huku mdingi akiliaga kwa kusema "dogo tutawasliana kwa barua"
8. ingawa nilimbishia baada ya kuwa mkubwa lakini ukweli ni kwamba mimi ndie niliekuwa nikimchafua sana mama kwa kumnyea, kuniogesha kila siku nk
9. wakati nina shida hata kama ni kwa upande wa baba, nilimwelezea mama kwanza ndo yeye amweleze baba(mshua yeye alishanifundisha uoga tangu utotoni
10. yeye ndie alienibeba miezi tisa na kunizaa kwa uchungu mwingi sana, wakati huo mdingi akiwa nje ya labour anasubiria kidume kwa raha zote............
11. nani alikuwa ananibeba?
12. nani ambae nyonyo zake nilikuwa nikiziuma wakati meno yanaota?
13. nani alikuwa ananibeba mgongoni kila siku?


Naumizwa sana na tabia ya akina dada ya kutupa mimba , please dada zangu, msiwatupe watoto, nyie ndo akina mama ambao michango yenu mimi naitambua kwa dhati kabisa...........


Nani kama mama?

message from,

First Born,

tchaooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:peace:
 

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
jamani kama wewe ni mama basi utakumbuka wakati dogo ananza kuota meno huwa anafanyaje..............

Mie ni mama tena a proud one.... ila tu yule mtoto wangu wakiume sitapenda aje aite chuchu alizonyonya kama nyonyo... At least maziwa ina sound umesema with respect... nyonyo IMO naona ina sound kama vile pale unaposifia boobs za a person waweza enda nae extreme...
 

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,849
Points
0

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,849 0
AshaDii

Hapo Kiswahili kimekupiga chenga hivi.

Neno nyonyo linatokana na kitendo nyonya na kitendo hicho ndicho makhsus kwa mtoto mdogo. Kwa hiyo ni appropriate kuita nyonyo na ndio maana hata zile bottles za watoto za maziwa Waswahili wanaita Nyonyo
 

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
AshaDii

Hapo Kiswahili kimekupiga chenga hivi.

Neno nyonyo linatokana na kitendo nyonya na kitendo hicho ndicho makhsus kwa mtoto mdogo. Kwa hiyo ni appropriate kuita nyonyo na ndio maana hata zile bottles za watoto za maziwa Waswahili wanaita Nyonyo
ha ha ha... Kweli wewe mwalim... basi tu niliona hai sound appropriate... ila hivi umesema na kuielezea as above... imenibidi nikubali....
 

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,849
Points
0

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,849 0
ha ha ha... Kweli wewe mwalim... basi tu niliona hai sound appropriate... ila hivi umesema na kuielezea as above... imenibidi nikubali....
You are welcome

Though inabidi tuwashangae watu wazima wanaosifia 'vifua' vya wanawake watu wazima wenzao kwa kusema ni manyonyo....lol
 

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
You are welcome

Though inabidi tuwashangae watu wazima wanaosifia 'vifua' vya wanawake watu wazima wenzao kwa kusema ni manyonyo....lol
Gaijin nakuambia genuinely kabisa... hilo neno linanifanya ni 'blush'... na i second hio hapo juu...lol
 

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,849
Points
0

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,849 0
kama sijakusoma vile???????????
Mtu mzima mmoja kumsifia mtu mzima mwengine nyonyo zake is kinda gross lakini sio katika muktadha wako hapa kwa sababu hukuwa ukimsifia mwanamke tu Bali ukiongea kwa msingi Wa uhusiano wa mama na mtoto.

So you are on point and we are all good
 

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
5,322
Points
1,250

First Born

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
5,322 1,250
Mtu mzima mmoja kumsifia mtu mzima mwengine nyonyo zake is kinda gross lakini sio katika muktadha wako hapa kwa sababu hukuwa ukimsifia mwanamke tu Bali ukiongea kwa msingi Wa uhusiano wa mama na mtoto.

So you are on point and we are all good
hapo nimekusoma, nakubaliana na wewe asilimia 100, mtu akikosa cha kusifia ni bora ukazungumzia kuhusu walau aliekufanya uyazungumzie hayo...........
 

Forum statistics

Threads 1,356,550
Members 518,911
Posts 33,132,973
Top