NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Kila mu ana namna yake ya ku protect ajira yake. Kuna wengine wanachapa kazi sana, wengine wanawahi sana kazini, wengine wanazingatia perfection, wengine wanatoa rushwa ya pesa, wengine wanatoa rushwa ya ngono, wengine wanaongeza elimu ili mradi tu kulinda kibarua. Ila kuna wengine wao wana protect vibarua vyao kwa kupiga majungu, kupeleka umbea kwa boss, kusengenya wenzao waonekane wabaya. This is soooooooooooooooooooooo BAD. Kuna baadhi ya makabila ni wazuri sana kwenye hili sitatja kabila ila wapo kama huku kanda ya kaskazini kuna kabila fulani bana ukifanya nao kazi aaaaaaaaaaah wao ni UNAFIKI KWA KWENDA MBELE. I HATE THEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEM.