Boys hata kama ni tabia yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boys hata kama ni tabia yenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Sep 2, 2011.

 1. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara ya kwnz niliona kawaida labda kapitiwa,lakini cha ajbu anaendelea.nachojiuliza kwanini awe ananitafta ucku tu,!kama hana nia na mawazo ya kshetani anajua napokaa kwanini asinifate nyumban?haikuwa kawaida yake kwanini aanze leo hii?hebu nisaidien jaman m sielewi elewi yan.
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Maamuzi yote unayo wewe mwambie ukweli,ukiumauma maneno utakuta unampa kwa kumuonea huruma,mkondo wa maji huzibwa mtoni usingojee mpaka yaingie shambani.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vp umependeza sana nni siku hzi?................huh
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmh...ingekuwa ni man ningeweza kukupa ushauri....lakini kwa sababu ni boy....no comments
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  we shoga apo usichoelewa ww kitugan jaman!! Mbona mnapenda kutuumiza vichwa!!!!ok anakutaka unampa humpi.topic closd
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa kabisa!!! Jaribu kuiandika vizuri kwa kiswahili fasaha au kiingereza nielewe...
   
 7. s

  strit boy Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha wenge we mpe kitu yake ukimnyima anaenda kupooze kwa mwingine chagua moja kumpa au apewe na mwingine.
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Anakutafuta usiku na anataka mkutane sehemu nyingine sio kwako...hujajua anataka nini?
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Taarifa za kiintelijensia zinaonesha unapenda simu zake za usiku. Mpe tu uongeze ufundi. Halafu kutuharibia kiswahili ndo nini hivi? Huwezi kumaliza maneno, unakimbilia wapi?
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  kwa nini usimuulize kistaarabu?maybe atakuelewa na umueleweshe kama hiyo tabia huipendi
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  ina uhusiano na title?
  naomba umuelezee huyo mtu yeye kama yeye lakini sio kama maboys/wanaume!
  sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kwani kutafutwa usiku ni tatizo? Mayb mchana anakuwa bize na job hivyo usiku ndo anakuwa free thats why anakutafuta mida hiyo! Alafu usiku kunakuwaga na call za bei nafuu ka sio bure kabisa, sasa si ndo anazitumia effectively?? Mi naona hapo cha kuangalia ni yale maneno anayokwambia/mnayoongea kwenye simu, mi naamini lazima tu utakuwa unajua anachokitaka! We fanya uamuzi tu!
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Muulize mwenyewe anamajibu mazuri zaidi.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  atakua ana taarifa za kiintelejinsia, vaa kininja umfuate ila ubebe na bastola just incase!
   
 15. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  tufanye mtutu kabisa, we mwazimishe tu akamalize mambo...........
   
Loading...