Jaman nifanyaje?

kunku

Member
Sep 2, 2011
19
3
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?
 
dawa yake ni kuacha kumpenda!......ahahahahaaaaaaaaaa...umenuna eee!
 
????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?
<br />
<br />
bibie we mpige chini utalia siku ya kwanza na ya pili halafu ya tatu unazoea sawa mama
mi mwenyewe na mpango wakumuacha wangu lakini yeye hana wivu
 
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?

wivu katika mapenzi ni muhimu.....
 
naona kama stori ya kutunga manake haijakaa vema labda kwa vile ni mgeni.

Join Date : 2nd September 2011
Posts : 7

Rep Power : 0
 
Mi nafkiri jamaa hakupendi kwa dhati kwani upendo wa kweli haupo kihvyo mi nafikiri huyo jamaa anakutamani na c anakupenda.jitahidi kumshirikisha mungu.
 
usimuage unaenda sehemu,, bas amesha conclude dat,.. hata ktk story za kawaida 2 lazma aingizie ma najua una wanaume,.. sasa what z dat?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom