....Huyo ni mkeo, sio mtumwa wako... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

....Huyo ni mkeo, sio mtumwa wako...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshaji, Aug 29, 2011.

1. M

Mkeshaji JF-Expert Member

#1
Aug 29, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 4,264
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Salaam wadau,
Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.

Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?
Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!

Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?
Modern men need to change bwanaaa!

2. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#2
Aug 29, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
kuna elements za ukweli sana tu kwenye post bu are you married?? or do you understand ile concept nzima ya ndoa na role za kila mmoja wao ndani ya ndoa??

by sking, i dont mean to oppose what you say, but i want us to discuss the subject while knowing nani ni nani na yupo kundi gani

3. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#3
Aug 29, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160
kwa hiyo we ulitakaje sasa,njoo uwe unanipakulia wewe kama unaona anaonewa,yeye mbona ana enjoy tu,nyie ndo waume mabwege,shiit!

4. PakaJimmy

PakaJimmy JF-Expert Member

#4
Aug 29, 2011
Joined: Apr 29, 2009
Messages: 16,236
Likes Received: 309
Trophy Points: 180
Somewhere someone somehow is being paid to be a gender-crusader!

5. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#5
Aug 29, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,186
Likes Received: 570
Trophy Points: 280
Sijui kama mtoa mada yuko kwenye ndoa au ameongea from nowhere
may be ungekuja na wazo lako kama uko kwenye ndoa usije ukajikuta tuu unaongea

6. Yasmin

Yasmin JF-Expert Member

#6
Aug 29, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 242
Likes Received: 1
Trophy Points: 0

yah they have 2 change

7. M

Mkeshaji JF-Expert Member

#7
Aug 29, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 4,264
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Mkuu am married over the past 4 years.
Mi mwenyewe kabla ya kuoa dreams zangu zilikuwa hivyo kwamba wife anitumikie kwa kila kitu. Baada ya kuingia ndani ya ndoa nikaona hakuna dili yoyote, na kiukweli kuna baadhi ya kazi huwa namsaidia wife na hazijawahi kuniondolea/na hazitaniondolea uanaume wangu, na badala yake inaniongezea upendo kwa wife.

Kwangu mimi, kutaka kila kitu eti ufanyiwe na wife, ni fikra mgando.
Ashakum si matus: Kuna baadhi ya men hata nguo zao za ndani wanawaachia wake zao wafue....shame!

8. M

Mkeshaji JF-Expert Member

#8
Aug 29, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 4,264
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Sijakupata mkuu.

9. Kbd

Kbd JF-Expert Member

#9
Aug 29, 2011
Joined: Oct 9, 2009
Messages: 1,264
Likes Received: 0
Trophy Points: 133
Nitarejea baadae kidogo.

10. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#10
Aug 29, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 245
Trophy Points: 160
Na ishu ya kuacha matumizi ya nyumbani mbona hujaiongelea??
Kila mtu ana roles zake kwenye familia mkuu!

11. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#11
Aug 29, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,186
Likes Received: 570
Trophy Points: 280
At least umeniondolea wasi wasi wangu maana kuna watu ambao hata mawazo ya ndoa hawana ila wanazungumzia mambo hayo kama wazoefu
Some time kuna ukweli katika statement yako na ni ukweli watu wa aina hiyo wapo
Tena idadi ni kubwa sana ya wanaume ambao wakirudi hata kama ni mtoto wake hambebi au kuwahi hata kumlisha chakula wakati wife anafanya mambo mengine

12. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#12
Aug 29, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

13. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#13
Aug 29, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

that's a system of lyf uv choosen to live,siku ukiambiwa safisha meza,mbele ya wageni wa heshima...ndo akili yako itafunguka vzr kuhusiana na hao viumbe wenye jinsia KE au FE

14. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#14
Aug 29, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,186
Likes Received: 570
Trophy Points: 280
Mkuu nafikiri kuna mazingira ambayo mkeo hawezi kukufanyia hilo au kukuvunjia heshima yako mbele ya wageni
Ukiona anakufanyia hayo ujue toka mwanzao kuwa ndoa yenu ndo ilivyo kuwa mke anaweza kukutolea maneno ya kashfa mbele za watu
Hili hapa anazungumzia ule usaidizi ambao kama mume na mke mmekubaliana na mnaufanya sio ule wa wazi hata mbele ya mtoto wako wa kike au wa kiume unaambia kaoshe vyombo hapo hakuna heshima tena ndani ya nyumba

15. Smile

Smile JF-Expert Member

#15
Aug 29, 2011
Joined: Jul 18, 2011
Messages: 15,427
Likes Received: 194
Trophy Points: 160
mimi hadi nitamuogesha

16. M

Mkeshaji JF-Expert Member

#16
Aug 29, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 4,264
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Kuna baadhi ya kazi ambazo mwanaume unaweza ukafanya na zisiwe na effect yoyote kwako. Mfano kunyoosha nguo zako au hata za mtoto wako mdogo, kunga'risha viatu vyako, n.k.

Vilevile haimaanishi kuwa ukimsaidia mkeo kazi basi utaratibu mwingine ndani ya nyumba uvunjike. Mkeo akikwambia usafishe meza mbele ya wageni kama ulivyosema, hiyo ni dharau na ni suala la kitabia la huyo mke.
Akiweza kukufanyia hivyo basi hata kama usingekuwa unamsaidia kazi angeweza kukudharau kwa namna nyingine.

17. M

Maria77 Member

#17
Aug 29, 2011
Joined: Jun 2, 2009
Messages: 19
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
ndugu yangu bugumya huko ndiokupitwa na wakati kwenyewe siku hizi wanawake ndio wanategemewa kwa kiasi kikubwa kutunza familia financially kama unavyojua kwamba wengi wamesoma na wanafanya kazi kama wanaume. Labda mkeo mama wa nyumbani tuhint. Imagine unarudi umechoka unakaa kwenye kochi unawatch telly, bibie sometimes anafanya kazi more demanding then aje akukurike na wewe unamwuita akuletee glasi ya maji au mtoto analia. Je huu ni uungwana?try to be on her shoes ndio utaelewa.

18. MkimbizwaMbio

MkimbizwaMbio JF-Expert Member

#18
Aug 29, 2011
Joined: Nov 16, 2010
Messages: 872
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Sio utumwa kaka ni mgawanyo wa kazi tu.
Kama unaona anateseka, Mtafutie House Girl amsaidie.
Lakini kwa mimi hainiingii akilini, kuanza kusaidia kuosha vyombo baada ya kurudi kazini.
Mbona humsaidii kubeba Mimba?

19. MkimbizwaMbio

MkimbizwaMbio JF-Expert Member

#19
Aug 29, 2011
Joined: Nov 16, 2010
Messages: 872
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Waambie mama jinsi unavyonitunza My Wife.

20. Smile

Smile JF-Expert Member

#20
Aug 29, 2011
Joined: Jul 18, 2011
Messages: 15,427
Likes Received: 194
Trophy Points: 160
mimi ni my wife wako?

Loading...