Aasalam aleikhum wana wa jamvi najua ni cku nyingi ha2jajumuika pa1 hapa.ok leo nimekuja na hili ni kweli kama una uhakika wa kupata maziwa hakuna haja ya kufuga ng'ombe?kwa maana kwamba kama una...
Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.
Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa...
WADAU SALAAMU!!
NAANDIKA UJUMBE HUU SAA NANE NA NUSU USIKU IKIWA NI KILIO KIKUBWA CHA MSAADA.
MIMI NI KIJANA WA KITANZANIA MWENYE MIAKA 29,MHITIMU WA CHUO KIKUU (BACHELOR OF PUBLIC...
Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................
Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini...
Nashindwa kuamua ni njia ipi ya uzazi wa mpango nitumie,kwani zinazofaa zote zina madhara makubwa,sindano naogopa kitambi,kitanzi maumivu ya tumbo na kansa,kondom ikipasuka ni hatari na zingine...
Jamani wapendwa wa MMU.. mnisamehe kwa lolote litakalotokea leo.. Mie ni muwazi sana.. nimeingia humu leo nimelewa.. so naomba sana ..muivumilie michango yangu.. Mambo ya sikukukuu... si mwajua...
Chukulia kwamba, watu wa mtaani kwako wanaeneza maneno kwamba, wewe unatembea na mke au mume wa fulani, hapo hapo mtaani. Jambo hilo halina ukweli, lakini uzushi huo unapamba moto pale mtaani...
Simu yangu hupata ujumbe wa aina mbalimbali ukiwemo wa utani kutoka kwa wanaume na wanawake. Utani huo unaweza kuwa wa kimapenzi, kifamilia, kikazi au mwingine mwingi. Kwa kazi yangu utani huu...
Kuna watu wengi ambao wanaamini katika jambo hili, kwamba kama mtu hana wivu, ina maana kuwa hampendi mpenzi wake. Wanaamini hivyo, kiasi kwamba wapenzi wao wanapokuwa na wivu juu yao hujisifu...
Ni miezi kadhaa imepita toka niachane na huyo msichana, nilimpenda sana lakini yeye hakuonyesha ushirikiano juu ya pendo langu kwake, kwani alifanya chocho alichojisikia akijua kuwa sita kuja...
kwenye blog hii ya wakenya nimekuta kwenye mahusiano lawama na malalamiko ni kibao yaani hakuna anayesema ameridhika labda ndiyo maana kuna blogger mmoja huko Kenya aliwashauri wakike wao kuja TZ...
Sex: Why it makes women fall in love - but just makes men want MORE!
Sex is one of our biggest preoccupations causing thrills, heartache and downright confusion. But until recently, exactly...
Nimepewa mamlka halali ya mbinguni na duniani leo nasema leo kuanzia usiku huuu nakutangazia utakae mpata atkuwa mume wako ama mke wako wa milele kumbuka mungu ni mungu mweza yote natangaza uhuru...
Mhh! ndugu zangu wana jamii f.
Nisaidieni juu ya huyu shem wangu.
My sis ananilalamikia na anaomba ushauri kwa haya:
- Alikuwa mwema sana na upendo walipokuwa wachumba ahadi ndoa.
- Ajabu...
Utafiti wangu nimebaini ya kuwa familia ndogo ambayo wazazi wanaweza kuihudumia bila kutembeza bakuli la kusaidiwa ndiyo siri iliyochanuka ya kuishi maisha...
Kufuatia swala la ndoa siku hizi kuwa fashion, nimeona ni vyema kuangalia mambo machache muhimu katika sheria yetu ya ndoa. Karibu kwa
mchango na mawazo yako. Kumbuka sheria ya ndoa ni ile ya...