mwanaume kakuzalisha mtoto halafu hataki kutoa barua,ukimwambia kajitambulishe kwa wazazi hataki na anataka kuendeleza uhusiano. Je, huyo mwanaume ni mkweli au anataka kunipotezea muda tu. Tuna...
Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.
Katika utafiti uliofanywa kwa vijana 1,500 kuanzia miaka 20 na kuendelea huko Australia ilionesha kwamba asilimia 25 wana matatizo ya jogoo kuwika na asilimia 8 hali ni mbaya zaidi.
Jogoo...
mwanaume kakuzalisha mtoto, ukimwambia nenda kajitambulishe kwa wazazi hataki, halafu bado anataka kuendelea na uhusiano na huyo binti. Je, huyo mkaka ana mapenzi ya kweli au ni mlaghai?
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba, karibu wanawake tisa kati ya kila kumi wanaridhishwa na maumbile ya sehemu za siri za waume au mabwana zao. Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya wanawake kumi ambaye...
1> Giving the 1st salary to your parent
2>Thinking your love with tears
3>looking old photo$ smiling
4>A sweet $ emetional chat with friends
5>holding hands with your loved ones for a walk...
Nijambo la kawaida mkena mume walianzia kwenye urafiki wa kawaida na baada ya muda mfupi au hata kipindi kireeefu kua marafiki hatimae hufunga pingu za maisha je? Tuwaangalieje hawa wadada bilaya...
Hitma ya aliyekuwa Branch Director wa CRDB Bank, Vijana Branch, Mr. Sekoutoure 'Toure' Mndeme itafanyika tarehe 17/09/2011 nyumbani kwake Kunduchi mtongani kuanzia saa 7:00 mchana
Jamani niwape kisanga hiki jana niko kwenye basi akapigiwa mwanaume mmoja na mkewe ama hawara wake atujui lakini yaonyesha wanaishi pamoja,samahani hata kama wanaishi pamoja sijajua wamekaa miaka...
Habari zenu wadau.
Jamani wadau wa humu ndani, mimi nataka kuanzisha kituo cha kusaidia watoto wa mitaani. na wewe mdau nakupa nafasi ya kuchangia kidogo unipe mawazo ni jina lipi litumike kwa...
<!--[if !supportEmptyParas]-->Je, wazee wenye umri mkubwa bado huwa hamu kubwa ya tendo la ndoa?
Utafiti wa sasa unaonesha kwamba jinsi mtu anavyozidi kuwa mzee uwezo wa kuonja, kunusa, kusikia na...
Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra...
Mama akitumia nguvu zake zote kujitwisha mzigo mkubwa wa kuni katika kijiji kimoja mkoani Tanga ambako nishati pekee ya nyumbani inatoka na mazao ya misitu. Source: http://mwananchi.co.tz/
Inawezekana ni kweli wanaume wanaitawala dunia katika kile tunachokiita Mfumo Dume, lakini nao wanawake wanatawala kiota, siyo dunia. Ina maana gani? Kwa mujibu wa utafiti mpya wa hivi karibuni...
Mpaka kifo kitakapotutenganisha! Kama upo kwenye ndoa na upo kwenye tatizo kubwa, shida au mgogoro wowote na unajisikia kama ni wewe mwenyewe tu mwenye Matatizo ya ndoa, ukweli hupo mwenyewe kwa...
I don't care how much money he spends on me,
I don't care about the lavish gifts he gives me,
What matters most is the little things.
Like stroking my hair when Im sleeping
Or giving me kisses...
Häbari zenu ndugu zangun wanajf.ni furaha na kumshukuru mungu kwa kutuwezesha kukutana tena.nipo hapa tena nikihitaj mchango wa mawazo yenu...Miaka miwili iliyopita nilikuwa na mahusiano na kijana...
......jana nilitembelewa nyumbani na rafiki yangu akiwa na mkewe(mjamzito miezi 6 sasa) na wamefunga ndoa wiki 3 zilizopita,tukapa dinner pamoja na mke wangu na baade usiku tukatoka kumalizia siku...