mwanaume kakuzalisha halafu hataki kutoa barua

maguu

Member
Aug 12, 2011
12
34
mwanaume kakuzalisha mtoto, ukimwambia nenda kajitambulishe kwa wazazi hataki, halafu bado anataka kuendelea na uhusiano na huyo binti. Je, huyo mkaka ana mapenzi ya kweli au ni mlaghai?
 
Unamtambulisha kwa kipi? mlikubaliana mtambulishane?mzae?MUOANE? Hapo hujaweka wazi. Dhana ya kukuzalisha ina mashiko hafifu. Mlizini pamoja ndio mkazaa so hajakuzalisha. Kama mlizaa tu bila kujua mustakbali wenu hicho ni kihere here chacko.
 
mwanaume kakuzalisha mtoto, ukimwambia nenda kajitambulishe kwa wazazi hataki, halafu bado anataka kuendelea na uhusiano na huyo binti. Je, huyo mkaka ana mapenzi ya kweli au ni mlaghai?

inaonekana mchizi ni mwanaume wa ukweli, koz hujalalamika kama anakwepa majukumu ya ulezi!!suala la kujitambulisha maana yake anachukua jumla, na muoaji ni mwanaume sio wewe na usikute jamaa hakufikiria kuzaa na wewe bali ulimtegeshea ili kumshinikiza akuoe!!!we shukuru jamaa anahudumia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom