Utata maumbile ya wanaume!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba, karibu wanawake tisa kati ya kila kumi wanaridhishwa na maumbile ya sehemu za siri za waume au mabwana zao. Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya wanawake kumi ambaye haridhishwi na saizi ya maumbile ya mpenzi wake.

Hii ina maana kwamba, ni wanawake wachache sana wasioridhishwa. Lakini, hawa wapenzi wao ni wale ambao kweli wana maumbile madogo kupindukia, ambao idadi yao ni ndogo sana. Kinachofanya wanaume kupanga foleni kwa waganga kutaka kuongezewa ukubwa wa maumbile yao, ni kutokana na kutojiamini kwa wanaume hao.

Wanaume wenye tatizo hili linalofahamika kitaalamu kama small-penis syndrome, wanakabiliwa na wasiwasi kwamba sehemu zao za siri ni ndogo, wakati wala sio ndogo, lakini wanaume hao kwa bahati mbaya huamini hivyo.Kama nilivyosema awali, kuna wanaume wachache sana wenye maumbile madogo kuliko kiasi, hali ambayo hufahamika kitaalamu kwa jina la kubeza la micropenis. Hawa wenye wasiwasi wa kimaradhi, huamini kwamba, nao wako hivyo yaani maumbile yao ni madogo kuliko kawaida, wakati si kweli.

Wastani wa maumbile yaliyowima ni urefu kati ya inchi 5.5 hadi inchi 6.2. wale ambao wana maumbile madogo ambayo hayawezi kukidhi utashi wa mwanamke wanakuwa na maumbile ya wima ya urefu wa chini ya inchi 2.75. kumbuka nimesema maumbile wima, bila shaka mnanielewa vizuri.

Ni wanaume wachache sana wenye tatizo hili, lakini karibu wanaume watano kati ya kila kumi wangependa kuwa na maumbile makubwa, bila kujali maumbile yao ya sasa hivi. Hii ni dunia nzima siyo hapa nchini tu.Hebu naomba mjipime kwanza kabla hamjaingia kwenye ujinga wa kudhani kwamba maumbile yenu ni madogo au hayawatoshelezi wake au wapenzi wenu.
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
daah halafu siku hizi waganga washajua kuwa wanaume wengi wanashida ya kutojiamin basi kila kukicha wanaibuka na dawa za kuongeza maumbile sasa sijui zinafanya kazi kweli au vipi lakini nahisi wanapata wateja wakutosha otherwise dawa za kuongeza nguvu za kiume zingeongezeka
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,187
14,319
Ni ulimbukeni tuu na kuangalia porn movies sana ambapo wengine hawajui kuwa watu wanacheza na computer kwenye kuzitengeneza
 
Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,062
291
nafikiri hilo ni tatizo la wanaume wengi.mi natoa ushauri kabla mtu hajachukua maamuzi ya kununua dawa ya kurefusha machine ni bora ashauriane na mpenzi wake/ wapenzi wake km kuna umuhim wa kufanya hivyo.Ila najua litakuwa ngumu mtu kumuuliza mwenzi wake eti hii saizi inakutosha au nikaongeze itakuwa km kujidhalilisha , ila lazima tujue kwenye issue ya matibabu hakuna kuona aibu
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,187
14,319
Ila wakuu sidhani kama kuna uhakika wa hayo madawa maana hakuna aliyerudi kuisema kuwa amepona au imemsaidia
Sana sana inakuwa kama za kichina unaweza kuongeza ikapoteza uhalisia wake ambapo inakuja kuwa majuto zaidi kuliko kufanikiwa
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
daah halafu siku hizi waganga washajua kuwa wanaume wengi wanashida ya kutojiamin basi kila kukicha wanaibuka na dawa za kuongeza maumbile sasa sijui zinafanya kazi kweli au vipi lakini nahisi wanapata wateja wakutosha otherwise dawa za kuongeza nguvu za kiume zingeongezeka

Uliyosema ni kweli kabisa...... waganga wengi wa mitishamba wamejua udhaifu huo wa wanaume na sasa wanatengeneza ngawira ile mbaya....
 
Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
949
923
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba, karibu wanawake tisa kati ya kila kumi wanaridhishwa na maumbile ya sehemu za siri za waume au mabwana zao. Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya wanawake kumi ambaye haridhishwi na saizi ya maumbile ya mpenzi wake.
Hii ina maana kwamba, ni wanawake wachache sana wasioridhishwa. Lakini, hawa wapenzi wao ni wale ambao kweli wana maumbile madogo kupindukia, ambao idadi yao ni ndogo sana. Kinachofanya wanaume kupanga foleni kwa waganga kutaka kuongezewa ukubwa wa maumbile yao, ni kutokana na kutojiamini kwa wanaume hao.

Wanaume wenye tatizo hili linalofahamika kitaalamu kama small-penis syndrome, wanakabiliwa na wasiwasi kwamba sehemu zao za siri ni ndogo, wakati wala sio ndogo, lakini wanaume hao kwa bahati mbaya huamini hivyo.Kama nilivyosema awali, kuna wanaume wachache sana wenye maumbile madogo kuliko kiasi, hali ambayo hufahamika kitaalamu kwa jina la kubeza la micropenis. Hawa wenye wasiwasi wa kimaradhi, huamini kwamba, nao wako hivyo yaani maumbile yao ni madogo kuliko kawaida, wakati si kweli.

Wastani wa maumbile yaliyowima ni urefu kati ya inchi 5.5 hadi inchi 6.2. wale ambao wana maumbile madogo ambayo hayawezi kukidhi utashi wa mwanamke wanakuwa na maumbile ya wima ya urefu wa chini ya inchi 2.75. kumbuka nimesema maumbile wima, bila shaka mnanielewa vizuri.

Ni wanaume wachache sana wenye tatizo hili, lakini karibu wanaume watano kati ya kila kumi wangependa kuwa na maumbile makubwa, bila kujali maumbile yao ya sasa hivi. Hii ni dunia nzima siyo hapa nchini tu.Hebu naomba mjipime kwanza kabla hamjaingia kwenye ujinga wa kudhani kwamba maumbile yenu ni madogo au hayawatoshelezi wake au wapenzi wenu.
Njia mojawapo ya kujipima saizi yako ni kuvaa condom ukiwa umedisa; ukiona imefit basi ujue uko katika std lakini ikipwaya, mmhh!
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,152
9,012
Wasaidie na wale wenye kubwa ambazo
Mara nyingi zinaota hazitaki kuachia usingizi..
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
hiyo ni kweli hata kwenye mapenzi siku hizi watu wanataka wafanye wanayo ona kwenye mikanda ya ngono wanasahau ile ni movie kuna editing na ku cut na kuplay
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
Wasaidie na wale wenye kubwa ambazo
Mara nyingi zinaota hazitaki kuachia usingizi..

Hawa hawana tiba ila kama kama ikitokea na mwenzi wake au mkewe akalalamikia hali hiyo, ni vyema kwa wahusike kwenda Hospitalini, kwani kule wanaweza kupewa ushauri wa namna ya ku-perform kwa njia ambayo haitamuumiza mwenzie.
 
MORIA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
706
273
Mtambuzi... iweje kipande cha ulimi kitoshe..au malesb. watoshane... na 2.75 almost 3" isitoshe?...ndugu yangu hicho kipisi ndio chenyewe kwani sio kinasugua tu bali kinasaga vibayaaa..
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
Mtambuzi... iweje kipande cha ulimi kitoshe..au malesb. watoshane... na 2.75 almost 3" isitoshe?...ndugu yangu hicho kipisi ndio chenyewe kwani sio kinasugua tu bali kinasaga vibayaaa..

Sidhani kama nimekuelewa.............
 
mjasiria

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
4,160
1,822
Hii mada hii............hebu wadada semeni saizi ipi ndiyo mwake, manake wanaume tukiijadili hii bila wadada kushiriki itakuwa haijakaa sawa bado.
 
Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
kuna 10 inch hapa ikijaa ndani yaonekana inagusa kona zote so big p imara wanazimaindi sana masista
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980

Hii ina maana kwamba, ni wanawake wachache sana wasioridhishwa. Lakini, hawa wapenzi wao ni wale ambao kweli wana maumbile madogo kupindukia, ambao idadi yao ni ndogo sana. Kinachofanya wanaume kupanga foleni kwa waganga kutaka kuongezewa ukubwa wa maumbile yao, ni kutokana na kutojiamini kwa wanaume hao. .

...
Kwa kweli huu utafiti ni mzuri... nimependa zaidi the above part... it is so true....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom