Anatumia tendo la ndoa kama bakora ya kukutia adabu!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama rushwa au kama adhabu.

Inapotokea anataka kitu ambacho huna uwezo wa kumtimizia au mmetofautiana au hajaridhishwa na jambo, badala ya kujadili kwa busara na kufikia muafaka, yeye hukukomoa kwa kukunyima tendo la ndoa tena kifedhuli.

Je kama ni wewe ungefanya nini?
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
2,000
sidhani kama hao anamkomoa mwanaume kwa kumyima tendo la ndoa ila anaongeza ufa kwenye ndoa yake
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
2,000
wakiwa wawili watashindana kuni please....ikishindikana naongeza wa tatu...

hiyo formula haijawahi kushindwa lol

duh mkuu wote watatu .... nadhani ukishaonyesha nia ya kutokujali kunyimwa tendo tayari itakuwa bakora
 
Kanyigo

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,029
1,225
unafunga NOVENA, unasali sana na kumuomba mungu,yeye muweza atabadilisha msimo wa kipuuzi wa huyo mamisapo.
 
Natalie

Senior Member
Sep 25, 2011
165
0
duh mkuu wote watatu .... nadhani ukishaonyesha nia ya kutokujali kunyimwa tendo tayari itakuwa bakora

Hivyo ni kujiaibisha tu, we chukua simu jifanye kama unaongea na mtu, Hi Dear, jiandae, leo nakuja tutoke out, na uhakikishe hukai humo ndani utoke kweli, ikiwezekana hata ukalale gesti peke yako mpaka asubuhi, atakoma hiyo tabia na si ajabu kabla hata hujatoka, akakubalia, usipige punyeto mbele yake, atakudharau, na pia jamani, msipende kuwafanyisha sex kila siku wake zenu kama hawapendi, mpunguze kidogo ratiba ya sex ili msiwachoshe wake zenu ili wasikose raha wanapowaona.
 
Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
480
250
Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama rushwa au kama adhabu.

Inapotokea anataka kitu ambacho huna uwezo wa kumtimizia au mmetofautiana au hajaridhishwa na jambo, badala ya kujadili kwa busara na kufikia muafaka, yeye hukukomoa kwa kukunyima tendo la ndoa tena kifedhuli.

Je kama ni wewe ungefanya nini?

hakufundwa huyo, mpe likizo aende kwao kwa muda usiojulikana ili akajifunze.
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,774
2,000
. Unajua unapomkwaza mtu hata hamu ya tendo anakuwa hana. Wewe unaweza hisi anakunyima.
 
Rashdind

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
203
225
Hivyo ni kujiaibisha tu, we chukua simu jifanye kama unaongea na mtu, Hi Dear, jiandae, leo nakuja tutoke out, na uhakikishe hukai humo ndani utoke kweli, ikiwezekana hata ukalale gesti peke yako mpaka asubuhi, atakoma hiyo tabia na si ajabu kabla hata hujatoka, akakubalia, usipige punyeto mbele yake, atakudharau, na pia jamani, msipende kuwafanyisha sex kila siku wake zenu kama hawapendi, mpunguze kidogo ratiba ya sex ili msiwachoshe wake zenu ili wasikose raha wanapowaona.

kama unaogopa kusex kwanin uolewe coz sio lazima kuolewa tafuta mtoto alafu ishi peke yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom