Kwa Wanawake tuu

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,483
Points
2,000

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,483 2,000
Najaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea asubuhi na mapema mpenzi wako alikuaga kwa mabusu makali kuwa anakwenda kazini?Hawa wanasukuma gari ya mbunge wa Chadema Mh Chiku Abwao
 

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,238
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,238 2,000
Naona midume imevamia!
Kama ni mimi nampiga kibuti huyo mume/boyfriend/buzi na kuhakikisha nampata huyo Jairo/jangiri LOL!
funny
i believe huyo jairo atakuwa anawalamba baadhi ya wake za hao wanaosukuma gari lake...
na hii comment yako hii....ime confirmed what i believe.....
 

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,483
Points
2,000

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,483 2,000
mkuu heshima mbele....
umeshasema kwa wanwake tu...
ulitaka niseme nini zaidi ya kucheka?
we huoni hao watu wanaosukuma hilo gari wanavunja mbavu pia???
Heshima mbele Mkuu. Yea, men pushing a car from the back. Kama vile wanasema Ari mpya, Nguvu Ppya na Kazi mpya only anayesukumwa kusimamishwa. Akirudi watamsukuma tena?
 

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,238
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,238 2,000
Heshima mbele Mkuu. Yea, men pushing a car from the back. Kama vile wanasema Ari mpya, Nguvu Ppya na Kazi mpya only anayesukumwa kusimamishwa. Akirudi watamsukuma tena?
mkuu sio kila anaevaa sruali ni mwanaume....

wazungu wanasema kuna men
na kuna men's men.....
 

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,573
Points
2,000

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,573 2,000
funny<br />
i believe huyo jairo atakuwa anawalamba baadhi ya wake za hao wanaosukuma gari lake...<br />
na hii comment yako hii....ime confirmed what i believe.....
<br />
<br />
Frankly speaking it is disgusting; mume wangu kumsukuma mwanamume mwenzake! Hukawii kufikiria kuwa anashikishwa ukuta! Lazima apate ban ya untumba ya at least 3 moons
 

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
Kwani hata amevaa viatu?

Viatu kavaa bana...

Back to topic...
Sema tu ningechukia kua gari ni la Jairo for nina hasira na the guy..
ila genuinely speaking a guy ambae ana adjust tokana na mazingira
naona he is the best... Sio mwanaume mzima gari lipo bovu hapo
linatakiwa kusukumwa.. unaleta pose za kike... Gari inatakiwa kua
pushed him as a guy is supposed to be part of the team...
 

Forum statistics

Threads 1,357,838
Members 519,109
Posts 33,154,164
Top