Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes! Part 2

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,500
Kale kadada ambako kaliniboa nilikakimbia baada ya kunipiga mzinga wa hela ya saluni mara baada ya kukatoa lunch, eti kanaanza kutaka nikutane nako tena!
Kanaanza hivi....
Samahani kaka, unajua siku ile nilivyokuambia kuhusu hela ya saluni ulinielewa vibaya, najisikia vibaya sana maana naona umenichunia kabisa. nikipiga simu hupokei na hata ukipokea unaongea kidogo na kunikatia simu. naomba unisamehe kama nilikukosea, sahau yaliyopita tuimarishe mahusiano yetu. unajua siku ile tulipokutanamara ya kwanza na uliponitoa lunch nilifurahi sana ingawa wewe ghafla umeamua kunichunia.
Naomba upange tena tukutane kama ukipenda tupeane raha.
Mytake!
Haka kademu kameandika meseji ndeefu mpaka ikaandika ......some text missing..... sasa sijui mimi nikaonee huruma niendelee nako au ndio kananivutia kasi ili one day kanilipue vizuri?
 

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
892
Kabla sijachangia nataka kujua kanaishi wapi? Tandale, Yombo, Kwa mtogole, Msasani mandazi road, Kigogo?
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,378
Part 2 ? kwahiyo kutakuwa na 3,4,.... mimi nakustahi ngojea asubuhi kuna dada anaitwa Rose1980 akipita hapa atakupa maneno yako,yeye huwa harembi lol!
 

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Kazi kwako sasa mkuu but,ww unampenda au unataka ukalipize ile lunch yako?km unapenda poa ila km co mwambie ukweli hata kama kaamua kurudi mwenyewe!
 

clet 8

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,128
318
Acha kutuchosha akili na mambo yako ambayo unaweza kuyatolea uamuzi bila kutushirikisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom