mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?