Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,923
Hari zenu wakuu, hii ishu mwenzenu inanipa tabu kidogo yani nashindwa kuzoea na kutoishangaa,kuna mbaba mtu mzima tu mwenye familia yani akirudi tu kutoka kazin au akiwa kwake mda wote anakuwa amefunga kitenge au kanga,anatoka nayo na kukaa kibarazani,huwa namshangaa sana anaweza akatoka mpaka anamsindikiza mgeni hivyohivyo,sasa kuna mkaka kahamia kwetu naye tangu amekuja ni mwendo wa kanga au kitenge japo anakuwa amevaa pensi,na ninamshangaa zaidi huyu coz ni bonge la brazamen,wadau mie mshamba hebu nisaidien imekaaje hii kwa wakaka/wababa,hata kwa wadada pia nyie mnaonaje,na wadada wakubwa wenye ndoa zao hii kwa waume zenu mnaiona imekaaje,nawasilisha.