Ukimya wake una maana gani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimya wake una maana gani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Nov 3, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wadau!!kuna msichana nimemwambia tuachane kwa kumtumia txt kwenye simu but cha kushangaza kakaa kimya hadi sa hz,na leo ni siku ya 3 tangu nimtumie hyo txt,tatzo ni nin,hana crdts au ndo mie nichanganye za kuambiwa pamoja na zangu?
   
 2. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Ni mpenzi wako?kwanini usingemwambia face to face?umemkosea heshima as if she is very cheap!!
   
 3. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Sasa we unatakaje? ulitaka aanze kulia na kukubembeleza au? Umetuma ujumbe umefika unajiuliza nini sasa, au ulikua unatingisha kiberiti
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Umemtext mwenyewe ili muachane_halafu unaleta mawashawasha!....anyway niko naye hapa nimemwambia atulie nipo kwa ajili yake and she promise never to go back...ahahahahaaaaaaaaaa
   
 5. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwani mlipotongozana mlitongozana kwa txt hadi umtumie txt ya kuachana??

  hayo mambo ya kutumiana txt za kuachana wanafanya watoto wa sekondari but mwanaume kama mwanaume hawezi fanya huo ujinga! mfuate umweleze ukweli kuwa hutoweka kuwanae sababu 1 2 3
   
 6. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Umemwambia muachane.sasa unataka ajipendekeze?
   
 7. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mwambie huyo, hayo ya kulia lia wanawake wameenda wanayaacha, anafikiri mpaka anaamua kumtakia hakuwahi onesha dalili, mdada alishajitafutiaga wa kukureplace siku nyingi tu. We umeshuka kuna mwenzio anapanda
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  vipi Mpwa ulikua una test zali eh? imekula kwako ndio inaonyesha jinsi watu walivyochakana
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
   
 10. M

  MyTz JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  amejaribu makali ya sumu kwa kuilamba...
  binti kamshangaza...
   
 11. M

  MyTz JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  natumai umejifunza kitu hapo...
  next time usiwe unaropoka tu, unless uwe unamaanisha...
   
 12. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kwa iyo ulikuwa unamdesh
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ndio keshakubali na ndo keshakuacha,na hayo yote ni ujumbe kwako kuwa hukua muhimu kivile na uamuzi wako umemrahisishia kukutoa maishan mwake na kuwa commited kwa aliye muhimu kwake kwa sasa,km inakuumiza pole hope ulikuwa unabip mwenzio ndio kakuvutia waya mkuu!ugulia utafute mwingine maisha yaendelee!
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ni magumu sana,....sidhani kama kuna ulazima wa kumuacha mpnz wako kwa kumwandikia sms(as if she is cheap like....),...nafikiri hapa mkuu senetor uliteleza kidogo ama haujiamini mkuu
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hiyo inatafsirika hivi "Nenda mwana wa Kwenda" ......."Huntishi-tish hunibabaish"
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kwisha habari yako,kwanza ulikuwa humfikishi kileleni sasa amempata rijali anamfikisha swaaaafi,na amekudharau kinoma.
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapa jamaa alikuwa anajaribu tena kwa dharau kumbe mwenzie naye anatafuta sababu,sasa hapo dukapatikana maana hata ujasiri wa kumpigia kumuuliza hana ataanzia wapi cha msingi augulie tu kwa kujifunza kutokana na makosa!
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo ndio ataamini wanawake wanaweza!
   
 19. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  He Kumbe Ulikuwa unapima maji lol. kama sms inaeleweka wewe ulitaka akujibu nini tena au upo interested na jibu lipi?
   
 20. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mnachangia ka wandawazimu au huyo dem dadaaenu nini
   
Loading...