Hatuwezi kukataa Ushoga

Sep 13, 2011
11
5
Ndugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata kuwakemea au kuwaelimisha kuacha uchafu wao. Tunawalea wenyewe na vile vile kuna wapuuzi wanaofanya nao mapezi. Tuwaondoe mashoga kwanza ndio tukatae maombi ya wazungu.
 
Rekebisha heading mkuu!
Halafu unapaswa kujua kuwa Gongo ni haramu japo inapatikana mitaaani vivyo hivyo kwa bangi, cocainne, etc
Sasa hatuwezi kusema kwa kuwa hivyo vitu vipo na tunafahamu ni vibaya , mtu atulazimishe tuvihalalishe.
Bado tunasema kwa nguvu zote USHOGA HAUKUBALIKI! hata huko ulaya kuna wenye akili wachache wanapinga huu upuuzi wa kupumuliana kisogoni!
 
wazungu now wanapractice 'new world order' ili kufulfill prophecy, itakuwa ngumu kukwepa hii kitu coz wao ndo wanaleta mifumo ya maisha ukianzia technologia waafrica tusiwe na nguvu ya soda kama tulivyofanya kwa gaddaf
 
Ndugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata kuwakemea au kuwaelimisha kuacha uchafu wao. Tunawalea wenyewe na vile vile kuna wapuuzi wanaofanya nao mapezi. Tuwaondoe mashoga kwanza ndio tukatae maombi ya wazungu.
Hapo ndipo naona umuhimu Sharia ,sijui nchi ya kiislamu Zanzibar kwa hili mbona wamekaa kimya ,hata huku bara mabingwa wa maandamano mbona nao kimya au wanaandamana t hijabu ya mkuu wa wilaya inapovuliwa na wapambe wa Chadema
 
Halafu kitu kinachonishangaza zaidi, hawa hawa wazungu ndo alituletea hizi dini na kuyaainisha mambo ambayo ni mabaya likiwemo hili la ushoga, wakatumia dini zao kutulaghai wakatutawala, leo hii wanataka kurudi na kuyakana maandiko waliyoyaandika wao na kuyapa ubaya wakitaka kuyahalalisha. Haya na tuone sasa pengine ndo wanataka kutuamnisha kuwa utabiri waliouandika ndo unatimia....
 
Hapo ndipo naona umuhimu Sharia ,sijui nchi ya kiislamu Zanzibar kwa hili mbona wamekaa kimya ,hata huku bara mabingwa wa maandamano mbona nao kimya au wanaandamana t hijabu ya mkuu wa wilaya inapovuliwa na wapambe wa Chadema

ingawa hujataja hyo dini nikichukua maneno yako nayahusisha na dini ya kislamu kwani uislamu na waislamu peke yako ndiyo wenye jukumu la kupinga ushoga,wewe wajibu wako ni upi?dini yako inafurahia ushoga?WEWE,MIMI,YULE ni jukumu letu wote kupinga ushoga
 
Ndugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata kuwakemea au kuwaelimisha kuacha uchafu wao. Tunawalea wenyewe na vile vile kuna wapuuzi wanaofanya nao mapezi. Tuwaondoe mashoga kwanza ndio tukatae maombi ya wazungu.
Kuna wizi unaendelea katika jamii, je hiyo inamaanisha kuwa serikali inakubali wizi? Kuqwepo kwa ushoga haimaanishi kwua serikali imeubariki kama ambavyo hao waingereza wanataka ifanye
 
Back
Top Bottom