Natafuta girlfriend niko serious.......

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Najua kuna maeneo mengi ya kumpata,kanisani etc lakini hata humu wanaosoma na hasa wewe unaesoma hii thread una akili timamu (a girl) sisemi wanaume si timamu hapa am talking about my coming girl eeeeeeh......sifa zangu: Am handsome,tall,black,si mnene si mwembamba kati hapo,sifa zingine utazijua badae INBOX me please.....
 
na mirindimo unaiweza....?ukinihakikishia hilo nakuPM sasa hivi.....
 
Hata Nyani Naye huwa anajiona ni hand some ndio maana ajishaua. Ok ngoja warembo wanaotafuta Hb Waje.
 
Dah hebu nikapate tusker baridi
Yale yale ya mwanaume handsome sijui nina macho mazuri duh
Wanaume wa siku hizi tuna matatizo sana
 
Mmh!mwanaume akishaanza ooh mi handsome,cmtak mie kama hizo sifa nazitaka ntazisema mimi.
 
Ukiona mtu anamtafuta gf humu jf ujue mtaani kwao amekosa soko, atakuwa kapewa majina mengi mara fataki mara kijogoo. Endelea tu kumtafuta humu, utampata na mapenzi utafanya naye kupitia kwenye keyboard
 
Hivi mtu unajitambuaje mwenyewe kuwa ni handsome?

Anauliza kioo!!!

Kwani wewe hutambui kama una mvuto sana/wa kati au hauna kabisa???Kujitambua inapaswa kila mtu ajitambue...inasaidia sana self esteem.Tatizo ni kutamba kuhusu huo muonekano na sio kutambua muonekano wako uko vipi!!!
 
Ukiona mtu anamtafuta gf humu jf ujue mtaani kwao amekosa soko, atakuwa kapewa majina mengi mara fataki mara kijogoo. Endelea tu kumtafuta humu, utampata na mapenzi utafanya naye kupitia kwenye keyboard
nimecheka kweli kweli.mapenzi ya keyboard yana raha zake
 
Anauliza kioo!!!

Kwani wewe hutambui kama una mvuto sana/wa kati au hauna kabisa???Kujitambua inapaswa kila mtu ajitambue...inasaidia sana self esteem.Tatizo ni kutamba kuhusu huo muonekano na sio kutambua muonekano wako uko vipi!!!
Ukijitambua unaweza ukatumia vibaya uhandsome au ubeautiful wako....isitoshe watu wanasifia tu wengine hawako serious so kama ukachukulia ni kweli na kuanza kujigamba nadhani kuna kasoro.
 
Ukijitambua unaweza ukatumia vibaya uhandsome au ubeautiful wako....isitoshe watu wanasifia tu wengine hawako serious so kama ukachukulia ni kweli na kuanza kujigamba nadhani kuna kasoro.

Kwahiyo bora usijitambue kwasababu ukijitambua unaweza ukatumia vibaya mazuri yako????

Alafu swala la kusifiwa na kujitambua vinahuasiana vipi???Maana nzima ya kujitambua ni wewe mwenyewe kujijua ni nani/uko vipi n.k bila kutegemea mtazamo wa watu wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom