Eti afadhali tukose wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti afadhali tukose wote

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Nov 3, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Wadada acheni fujo na vurugu. Utakuta mtu katemwa badala ya kukaa chini na kutafakari makosa yake, anaamua kuharibu mambo ya wengine.

  Afadhali tukose wote na misemo ya walio shidwa siku zote (not qualified)

  women_fighting_for_a_man_m44-437439.jpg
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unaongea kuhusu nini????
   
 3. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Kuna wadada wanamtaka jamaa, lakini mmoja ndoo kamua kufanya kila liwezekanalo kutibua kila kitu ili wakose wote maana yeye dalili za kumpata jamaa zimesha fikia zero.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hujasomeka Mkuu, tunashindwa kuweka pumba zetu!
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tunahitaji semina elekezi kueleza tofauti ya JF na FB!
  Nakupa kazi hyo Lizzy, utakuwa facilitator!
   
 6. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Hapo ndoo nimejitahidi sana kueleza.
   
 7. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Rudia mara mbili utaelewa mkuu, DJ nimechoka sana leo.
   
 8. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Pole kwa uchovu mzazi, nadhani ni tupumzike tu coz najaribu kurudia na kurudia naona unanipeleka tu kule FB!
  Usiku mzuri kijana
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa siungetoa haya maelezo yote mwanzoni???
  Neway mpaka wafikiekumgombania mwanamme wameonyesha wote hawana maana.Si watafute wengine huko...au kabaki peke yake duniani??
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Heheheh....staki mie.
  Mwisho ntaambiwa na WIVU.
   
 11. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu kwa kukuchosha na hili zoezi. Usiku mnono.
   
 12. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Ina maana lizzy hujawahi gombania mwanaume??
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijawahi....sina mpango na wala sitarajii itokee.
  Kwa lipi haswa????Mwanaume mpaka akuweke kwenye position ya kumgombania na mwanamke mwenzako maana yake ni kwamba yeye ameshindwa kuchagua na anawachezea wote...yani sio wewe wala huyo mwenzako mwenye maana kwake...huo muda kukubali kufanywa mjinga unatoka wapi?
   
 14. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Lizzy naamini hujapenda bado.
   
 15. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hahahahahahaha kama yaliyokukuta kwenye sred ya Bebii, masikini kumbe ilikuuma hahahaha pole jamani ila na wewe umezidi umontress wangu.
  Unalo!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo ukipenda unakua mjinga???
  Basi wala sitokaa nipende!!!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siwezi kuumia kwa maneno ya JF hata siku moja....wala kuacha kusema nnachoona ni sahihi kwa kuogopa watu ambao hata kuwaona siwaoni.
   
 18. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ukipenda kweli unavishwa kaujinga fulani. Lakini nisikukatishe tamaa, kupenda ni haki yako ya msingi kikatiba.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kupenda ntapenda kwa sheria zangu....swala kumgombania mwanaume siwezi kulidefine kama mapenzi hata siku moja. Hata kama ingekua ni mimi ndo nnaegombaniwa....ningewaona wote wanaonigombania wanaact kama malimbukeni. Kama sijaweza kukuchagua maana yake sikuthamini wala sikupeni kiviiile.....sasa unahangaika nini?
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Hapo lazma ufanye uamuzi mgumgu. Uwatose wote wawili.
   
Loading...