Kuna wakati wanaume hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume. Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale...
Duniani kuna mambo
niko lunch moja hapa karibu na sheraton ya mwanyamala dada mmoja anasikika akimwambia
mdogo mtu we kama uwezi kumtunza si tutakusaidia na kama uji mbona nimeshamfulia sana mumeo...
Tabia ya madada kuacha kucha ndefu bila kupunguza imefikia mahali tuulize kuwa ni kwa kusudi gani hasa. Hivi karibuni nilikuwa safarini toka Tanga wilaya ya Handeni. Kuna dada alipanda kwenye gari...
katika mahusiano ya kimapenzi, wanaume wanatawaliwa na mcho na wanawake wanatawaliwa na masikio. ndio maana hata katika hali ya kawaida anayeanza kutoa neno ni mwanaume na ina kuwa baada ya kuona...
Mara nyingi msema kweli ni mpenzi wa Mungu leo nimeona niseme hili ambalo kwangu huwa linanikera hata kama wewe sikujui sisemi nawaonea bali nimeona niliweke wazi kuwa TABIA YA WANAWAKE KUVUTA...
Natanguliza heshima mbele kwanza!Wanajf naombeni ushauri juu ya mdogo wangu anayesoma chuo jirani na nchi yetu yaani Kenya.Mdogo wangu(MME) anatatizo ambalo nashindwa hata mimi kufahamu...
Ndoa ngumu jamani!!
Kuna mjamaa baada ya kuwa baba wa ubatizo, akawa anatumia sana hiyo kofia kwenda nyumbani alipo mtoto kwa nia ya kumsalimia. Kumbe Jamaa alikuwa anakula yule mama wa yule...
Katka maisha ya mapenz nimeptia vioja ving kias kwamba kuna mambo mengne niksimulia uwa watu wanadhan ni story za ku2nga mfano kuna post nliwah post hapa baadh ya wachangiaj wakadai ni adith za...
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni...
Karibu ntaacha kupeana mikono na watu...hususan wanaume wenzangu. Kwa nini? Kila mwanaume aendapo chooni (haja ndogo) lazima ashike nanii yake. Hivyo kila upeanapo mkono na mwanaume, manake...
Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba...
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae...
wakuu mtandao wa tigo umeshadata, muda huu ukipiga simu hawakati salio kabisa, nadhani server yao imesha collapse, so wale wapenda vya dezo huu ndio muda wetu kujimuvusisha freeely! Jaribu utaona!
Why I Cheated on My Husband The first question that comes to mind when a spouse cheats is: Why? A recent study by the University of Guelph in Ontario, Canada, attempted to answer that question and...