Kupiga TIGO leo ni bure! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupiga TIGO leo ni bure!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Nov 3, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,883
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  wakuu mtandao wa tigo umeshadata, muda huu ukipiga simu hawakati salio kabisa, nadhani server yao imesha collapse, so wale wapenda vya dezo huu ndio muda wetu kujimuvusisha freeely! Jaribu utaona!
   
Loading...