Why naniii! 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why naniii! 2

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Digitata, Nov 3, 2011.

 1. D

  Digitata New Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti wadau mbona, mi huwa naogopa kuanza kuongea na hawa Csterz we2, eb anzeni basi nyie, mi cjui naogopa.
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Uwoga huwa unachangiwa sana na suala la kutojiamini. Hivyo jitahidi kutokuogopa na jione kuwa wewe ni mwanaume na ni wajibu wako ku-express hisia zako kwa yule unayempenda. Usiogope kupigwa kibuti/kukataliwa, hilo ni jambo la kawaida kabisa. Wadada wengine wana tabia ya kukataa mara ya kwanza wanapotongozwa hivyo kibuti cha kwanza huwa ni cha kawaida. Usije ukakataliwa kwa mara ya kwanza ukafikiri huna bahati, unatakiwa kujaribu tena na tena mpaka upate ukweli wa unayempenda kama naye anakupenda au laa. Lakini pia ni kawaida kujikuta hisia zako zinaangukia kwa yule asiyekupenda. Usilazimishe, asiyekupenda achana naye.

  Wengine hutuma meseji, lakini sidhani kama njia hii ni muafaka maana inaonyesha wazi hali yako ya kutojiamini ambayo nafikiri wadada wengi hawaifurahii.

  Jitose kwa kuongea nao live, utashinda.
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hujaamua ukiamua utaongea..
   
Loading...