Kwanini inauma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini inauma?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by muhanga, Nov 1, 2011.

 1. m

  muhanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  pole ni kawaida tu hayo 'maumivu'
  kwa sisi wanaume huwa tunaumia kwa kuhisi 'tulipaswa kuwa makini kuchagua'
  au kuona 'mabadiliko' mapema....
  tunaumia kama ambavyo unaumia mwizi akija kwako na kukuibia 'nguo ambayo huivai'....
  na pengine ulitaka kumpa mtu....unaumia tu...
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135


  Pole sana,huna haja nae kabisa kwannavyo elewa mimi nikua humtaki tena unalako na yeye ana lake sasa mambo ya u cant let him go inahusu nini? mme achana sababu tabia zenu hazi waridhishi nyie wenyewe na mkaamtua naiwe basi,au unamanisha wewe bado kisebu sebu?
   
 4. m

  muhanga JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  duh my dear unaniongezea maumivu... pengine huwa nawaza mie ndio nilikuwa nguo ninaependwa kuvaliwa popote, sasa sina thamani... loh it hurts so bad!
   
 5. m

  muhanga JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ndio hapo na mie nashangaa, kwa kweli sina haja nae baada ya hayoyaliyotokea kwenye relationship yetu, lakini kama naumia roho sana kila akikatisha machoni... sijui km na wengine huwa wanapata feelings kama hizi? ila sidhani kama bado nampenda, amenifika kooni haswaa
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  [h=1]There is nothing either good or bad, but thinking makes it so" - Shakespeare [/h]
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sasa kama hali imefikia hapo unataka msaada gani tena?
  Heshimu mawazo yako, na tafuta mungine broda!
   
 8. m

  muhanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  am trying dear kuheshimu mawazo yangu... by the way am SHE!
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  It's ok to feel bad... Si mmekaa sana? Kuachana ni failure, hata kama mmekubaliana. Ila ni a new start pia. Usiangalie nyuma, angalia mbele. what do you want to do now? kuendelea kujiskia vibaya even after the break or kuanza kufurahia your newly recovered individuality? Kuna vitu ulikua unafanya/haufanyi kwa sababu yake, it is time to find out kama unataka/hutaki kuvifanya. Just become yourself again... and meet new people, new friends!
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Maumivu ya kuachana si mchezo. Mungu akupe nguvu na ujisikie amani.
  Jichanganye na watu kama Russian alivyoshauri hapo. Itasaidia kuondoa mawazo.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Nimekumbuka hii ' I don't feel bad when I see my ex with someone else, coz my mom taught me to share my old toys with the less fortunate'
  Halafu fikiria hii, wakati mwingine nothing is good enough even though they say less is more!
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  yana run dunia
   
 13. m

  muhanga JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thanks hun, am trying, na kwa kiasikikubwa nimeweza ila nikimuona its like there is something still bound us together, sijui nini lakini.... siwezi kueleza hasa na kumbe hata yeye akiniona anajaribu kunikwepa lkn hataki watu waliokuwa wanajua relationship yetu wajue kama hatuko pamoja akiulizwa kuh mimi anajibu asif tupo pamoja!
   
 14. m

  muhanga JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  oh my my... nimekusoma mzee loh nimecheka kwa uchungu!
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkwe wangu king'asti ni kabinti hako. Sio kazee. Lol.
   
 16. m

  muhanga JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  uuuh so sory dear si unajua tena lile mtutu aliloshika nikahisi ni mzee wa kazi! hahaaa a.k. al shabab
   
 17. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Pole sana usihangaike au kuchakarika kutafta mwingne kwa sasa..jitulize kwanza manake utaweza kuingia mkenge kutfta mtu ukakuta ni balaa kuliko wa kwanza nae utamuacha mwisho wa siku utakuta unachakachuliwa tuuuu na bado usipate mtu wa maana...ukifika hapo utaanza kuwa mzinifu na kupoteza mkondo wa maisha..now tulia manake sisi wanaume huwa tunapenda sana wadada kama wewe wenye wakati mgumu tunajifanya kujali tukipiga mashine tu wai...simu haipokelewi tena..watch out..
   
 18. m

  muhanga JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  asante kwa kuwa muwazi, ni kweli wengi wakiachana na wapenzi wa awali wasipokuwa makini huangukia pabovu zaidi nakujiletea maumivu ya moyo na ht kuharibikiwa kimaisha ya mapenzi
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kuacha bange tu na sigara au pombe mtu unaumia seuze kumuacha binadamu ambae alikuwa kiungo chake kinaingia na kutoka ndani ya mwili wako. Maumivu ni lazima dada wee jikaze tu, yakizidi sana kaanzishe sredi love connect vijana wazibe pengo.
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  umeacha kuniletea yale makope kama brush za chooni na makucha kama msukule! unaona sasa naitwa mzee!
  sikupendi!
   
Loading...