Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeshtukia niko katika mahusiano na mdogo wa rafiki yangu sana niliyesoma naye sekondari. Nilikutana naye kwenye mishe zangu za chuo, na nimemsalandia zaidi ya mwaka mpaka kumpata. Nimejua kwamba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,najua watu mko katika hali ya hatari na msongo wa mawazo kwa kuiona hii kitu ikitokea leo hii katika dunia Benetton retira foto do Papa beijando um imã no Cairo - Yahoo!. sasa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nilikuwa mtumishi wa idara ya serikali mkoani Iringa kuanzia mwaka 1977 hadi 1983 nilipopata ajali ambapo ilibadili kabisa maisha yangu, kutoka yenye matarajio hadi maisha yaliyosheheni giza...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Eti jamani , msichana akitongoza mvulana kwani kuna ubaya gani ?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
habari za mchana na ma greater thinker...kitambo kidogo sijapata msaada kutoka kwenu,kuna mwanamke tumeanza ma uhusiano kama mienzi mitano iliyo pita,kwelii na mpenda na ananipenda,alikujaa kwangu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Napenda kuwapata marafiki waliopo tayari au ambao wameokoka na wanaompenda bwana
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wadau wote wa JF katika column hii plse naomba mniambie faida ya nyumba ndogo na kwa nini wanaume walio wengi wanapenda nyumba ndogo,kuna jamaa yangu kaoa juzi tu lakini tayari kwa sasa ana...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Happy furai dei P Square Ifunanya (Official Video) - YouTube
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Here is what she had to say: I am a married woman with two children and my husband works outside the country but he comes home once every month. A year ago, I had an affair with his best friend...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu fikiria kwamba, umebaini kuwa shoga yako wa karibu kabisa, ndiye ambaye amekuwa akitembea na mumeo au mpenzi wako. Umekuwa ukimsimulia shida zako na matatizo yako yatokanayo na ndoa yako au...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my...
3 Reactions
124 Replies
10K Views
@arusha,baba mngoni,mama mchaga umeoalewa mwaka huu, jpili ukamtembelea mamamkwe (hukufwatana na mmeo as yupo kikazi Nairobi kwa miezi minne) ,kule ugenini bahati nzuri/ mbaya shemeji yako...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ukiondoa shughuli nyingine za kitandani, kitanda kwa kawaida ni mahali pa kupumzika. Kitandanni mahali ambapo mtu anatakiwa awe na amani napo na kwa kweli ni mahali pa faragha. Na wote tunajua...
8 Reactions
36 Replies
9K Views
House girl ndie anaepika chakula changu, ndie anafua nguo zangu na kupasi, kwa kifupi anafanya karibu kila kitu hata iwe weekend(isipokuwa tendo la ndoa). Watu huku nje wananipongeza kuwa baada ya...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Back to Top MALAWI: "Malawi Sex Workers Sue Government After Forced HIV Test" Agence France Presse (11.13.11) Fourteen Malawian prostitutes are suing the government after being forced to...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Juzi nilikuwa maeneo ya dodoma, sarafina bar, napata soda huku pembeni meza ya pili wakiwa wamekaa wadada wanne nao wakipata moja moto moja baridi. Kwa chati nikawa nawaibia maongezi yao baada ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani tuwapende vipi? Mwanaume umemaliza chuo na kupata kazi, mpenzi wako unamatarajio nae ndo kwanza anaanza chuo mwaka wa kwanza halafu anakuletea mambo ya ajabu aaagggrrrrrrrrr...... Hivi...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wapendwa ninatumaini wote mu wazima. Ninaomba msaada wenu Eti inawezekana kwa wazazi waliotengana wakabaki marafiki? Kuwa kwa kuwa mmejaaliwa mtoto/watoto kisha mkatengana, na mnajua kabisa (or...
10 Reactions
206 Replies
13K Views
Jamani mimi ni mume wa mtu na nina mtoto mmoja. Katika pitapita zangu mdada mmoja katokea kunizimikia ile mbaya. Nimejaribu kumkwepa lakini waapi, kila siku ananipa majaribu!Kuna siku alinialika...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom